Simu kuingiza chaji taratibu

Simu kuingiza chaji taratibu

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Habari zenu wadau,simu yangu aina ya Tecno J8 inaingiza charge taratibu sana yaani kujaa asilimia 27 inachkua masaa 12,ili hali umeme hauja katika,nimejaribu kuizima na kuichaji mchezo ni ule ule,nimepigwa na butwaa maana haijamaliza hata mwezi,nikajaribu kubadilisha kichwa cha USB lakini imekataa,nikajaribu kuchkua usb wire pekeake nikakonekti kwenye kompyuta,mchezo ni ule ule,Nikajiridhisha kuwa ina wezekana Tatizo lipo kwenye USB WIRE au SIMU yenyewe,Je nawezaje kutatua hili ili niendelee kuichaji simu yangu kikawaida!?
 
Tafuta 15k nikuuzie charger kiboko yke,,,,first to comment
 
Smu inaanza kuzngua hyo..iuze tu isije ikakufia

Sent from my Android phone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom