Samsung smartphone gani yenye picha za HD yenye quality nzuri

benjamini org

Member
Nov 1, 2016
41
6
Nataka kununua simu naomba ushauri ni aina gani ya samsung yenyekutoa picha HD yenye quality nichukue wakuu balance yangu ni 250,000
naombeni ushaur na msaada wenu
 
daaaaa je tofaut na tecno simu gan nyingine kalii kwa camera naweza pata kwa beii hiyo
ni samsung galaxy s5 amemaanisha sio s5 Tecno.

kupatana zipo kwa urahisi watu wanaziuza ila kuwa makini na simu za nje, hakikisha inakubali tigo pesa, mpesa etc, soma hii thread
Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

s5 version ya kimataifa ambayo ndo unatakiwa ununue ni SM G900K pia zipo version za snapdragon 805 na zenye kioo cha Quad HD hizi ukizipata hata kama ni za wapi we zichukue ni nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom