Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Kwann frequency za radio FM zinaanzia 87.5 hadi 108????
Msaada kwenye tuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada kwenye tuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief wewe kweli ni Engineer mzuri, natumaini utakuwa unafanya kazi TCRA kama sio basi ipo siku tu.... nimeelewa vizuri sanaAdditio Fm modulation hutumia Band izo kwa vile tu hakuna response ya Signal inayotakiwa kurudi kwa sender yani Carrier signal inaenda na there is no any feedback return zaidi ya audience ku turn leo simu kuna two way communication huwezi kurun kwa Frequency hio utatengeneza delay of time kati ya sender na receiver though they need to communicate instantly
Elimu nzuriAdditio Fm modulation hutumia Band izo kwa vile tu hakuna response ya Signal inayotakiwa kurudi kwa sender yani Carrier signal inaenda na there is no any feedback return zaidi ya audience ku turn leo simu kuna two way communication huwezi kurun kwa Frequency hio utatengeneza delay of time kati ya sender na receiver though they need to communicate instantly
uko deep sana mkuuMkuu kwenye Telecom kuna kitu kinaitwa Band kiufupi ni range ya frequency kutoka hapa mpaka pale let say, International standard zimeamua kuweka Masafa frequency ktk interval fulani ili tu yatumike kwa Purpose fulani Kuepusha mwingiliano, Frequency Modulation (FM) Wao hutumia range hio uliyoitaja ktk transmission za signal zao kuna Amplitude modulation pia Am wao wako kwenye KHz, Simu pia zinatumia band hizi mara nyingi 800Mhz up 1200MHz ila pia vingamuzi viko kwenye KU band range 4Ghz up 12 madishi makubwa FTA hutumia C band ambayo range 2Ghz up to 4Ghz tume specify bands ili kupesha Signal interaction ivo kila manufacturer angalie kifaa Chake kina run ktk Band ipi leo,, Ndio ujue transmitter ya kuunda
Transparen
ahsante kwa maelezo mazuri. Mungu akulinde
Tuko Pamoja Wakuuuko deep sana mkuu
Fresh kiongoziTuko Pamoja Wakuu