ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 442
- 506
Natafuta fifa game apk mwenye kuweza kunisaidia tafadhali ..iwe na offline playing mode
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu but naomba msaada kuhusu hili obb folder nalieka wapi while sina sd card??kama sjakosea la 2014 ndio la mwisho offline
FIFA 14 Full Mod APK Free Download
kama still ni online jaribu kutafuta la 13, 12 etc
kwenye android sdcard ndio internal memory na external sd card ndio memory card.Shukrani mkuu but naomba msaada kuhusu hili obb folder nalieka wapi while sina sd card??
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye android sdcard ndio internal memory na external sd card ndio memory card.Shukrani mkuu but naomba msaada kuhusu hili obb folder nalieka wapi while sina sd card??
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief nimeextract files ambazo nimetakiwa kuweka kwenye obb but bado nikirun game inasema files zinatakiwa kuwa downloaded upya msaada plzkwenye android sdcard ndio internal memory na external sd card ndio memory card.
kifupi cha android package kit, ni format inayotumika kwenye simu za android kwa ajili ya kuingiza program kwenye simu.nini maana ya "apk"
asantekifupi cha android package kit, ni format inayotumika kwenye simu za android kwa ajili ya kuingiza program kwenye simu.
program moja inakuwa na mafile mengi sana ndani, hivyo inabidi yale mafile uyaeke sehemu moja ili iwe rahisi kuyaingiza kwenye simu, hivyo apk ndio inatumika hapo kuyaeka yawe file moja la format ya apk.