Habari wakuu.
Hivi kwanini ukiacha salio kwenye simu (in my case Vodacom), baada ya muda utakuta salio lako limeisha imebaki Tsh 2 au 3 tu hivi.
Muda huo huo unakua umeunga Dakika za Kupiga...
Dada mmoja amesahau password ya kufungulia simu,,,kajaribu Mara 24imejilock,,,inadai Nina LA mamake kama sawli LA security,, na google account na yeye hana na alive msetia hakumbuki,,,he...
jaman shikamooon ,Dada na kaka zangu Mimi ni mdogo wenu nataka kununua laptop ya chuo cha afya Ila kuna MTU anata kuniuzia aina hiii
Pc Ram 8GB,
1000GB
core i3
kwa laki tatu na...
Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za...
Wana jamii forums nna simu apa tecno w4 nimejaribu kuroot Mara nyingi na imekataa . nitumie njia gani ili niweze root maana nakosa mambo mengi nisipo root asee
Msaada tafadhali.....
Sent using...
Habari wana jamii forum naombeni msaada wenu wa dhati kutoka moyoni maana naumia sana nimenunua simu galax s6 nimetumia kama mwezi na nusu saivi haishiki mtandao wakati ilikuwa inashika vizuri tu...
Wale wakali wa photo editing,pc &phone games....nimeandaa whatsapp group karibu tupeane maujuzi....fungua link kujoin[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
(pc games+onlive tv+photo editing)...
Habarini wakuu.....
naomba kwa yyte anaeweza kunielekeza namna ya kuchange LOCK SCREEN WALLPAPER kwenye c9 ili niweke picha nnayoitaka mimi co zile hios wallpaper msaada tafadhali....
but cm...
Wakuu, mwenye kuijua hii program naomba anipe ujuzi kidogo. Mfano vitu vya mhimu ni kama vipi? Je, hasahasa inatumika kwa mambo yapi?
Mfano mtu akikuuliza unajua nini katika microsoft excell...
Salaam wakuu. Nimejaribu ku download free and trial QuickBooks lakini napo jaribu kuinstall inanitaka niweke pin,
Msaada mwenye ujuzi zaidi au au kink anisaidie
Natanguliza shukrani
Sent using...
Habari za leo wanaJF,
Ningependa kujua bei ya iphone 4, 4s na 5 kwa tanzania. Nahitaji kujua bei zake zikiwa mpya na used in a good condition.
asanteni
Ndugu zangu wana JF kwanza poleni kwa matatizo yaliyolikumba taifa letu, tuzidi kuomba uzima kwa kiongozi wetu.
PC yangu (Laptop Hp) imekataa kucheza video na hata mp3. Player za VLC na Windos...
Inauwezo wa kugundua kwa Usahihi hadi 91%.
Utafiti umeonyesha Mashoga/wasagaji kuna kitu cha kufanana katika muonekano wa uso wao.
Ubashiri kuwa mtu ni shoga/msagaji kwa kumuangalia kwa jicho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.