Msaada Namna ya kupata Website

Msaada Namna ya kupata Website

Kugeuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
333
Reaction score
225
Habari wanajamvi!!! Nawezaje kupata wwbsite au blog ambayo itawezesha kudownload video na audio,pia kuwezesha malipo kwa kila anayedownload? Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni nyimbo usijaribu Utapoteza Pesa zako bure na utaishia Jera kwa kuuza kazi za wasanii cha kukusaidia tengeneza website ya nyimbo ya kawaida mtu anakuwa ana download free ila wewe unakuwa na matangazo ambayo yatakulipa,

0743497079 << TUWASILIANE NIKUFANYIE KAZI
 
Ni nyimbo,ambazo ni video na audio na cyo km naiba bali naingia mkataba na wasanii

Mkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda Katengeneze
 
Asante Mkuu kwa ufafanuzi

hahaha mil 20 unajua unachokiongea wew nin cha zaid kipo pale???
 
wewe unaweza ona ni simple tu kwa vile unaingia na ku-download, hiyo sio website ya kawaida ni kubwa hile na kutengeneza kitu kama hicho kama mtu yuko free ni wiki mwili na zaidi
 
Kama ni nyimbo usijaribu Utapoteza Pesa zako bure na utaishia Jera kwa kuuza kazi za wasanii cha kukusaidia tengeneza website ya nyimbo ya kawaida mtu anakuwa ana download free ila wewe unakuwa na matangazo ambayo yatakulipa,

0743497079 << TUWASILIANE NIKUFANYIE KAZI

hata hiyo utaishia jela kama mwenye wimbo akiamua kukushtaki kwa kosa la kusambaza kazi yake free bila makubaliano wakati yeye anaiuza kwenye verified networks.
 
Sio Kila Msanii Anauza na Hata Duniani Msanii kumshitaki Blogger ni Ngumu Sana Maana Anajua Ndio Wanamtangaza, Hapa Tanzania Ije Itokee Hiyo Huone Mgomo wa Blogger Alafu Msanii Atoe Nyimbo
 
Mkuu unahitaji kuwa na Mtaji Usiopungua Milioni 10 kuanzia kutengeneza website hadi promoting Mbali na Hapo Ukiwa na Vilaki Utatengeneza Hizi za Kawaida kingine hili kupata System ya Malipo LAZIMA uwe na Leseni ya Biashara, kwanini Tanzania Website kama hizo ziko 3 Tu Tanzania, Mkito, Wasafi na Mzikii JIULIZE KWANZA, Hii inamaana Hii Kitu ni Kubwa na Kwamujibu wa Wasafi.com Kwa matengenezo yenyewe IMECHUKUA Milioni 20, Kama Unahuo Mtaji Basi Nenda Katengeneze
sometimes
wale watu walio endelea sana, hua hawataki competitors, xo wanatumia io ktu kuwatisha wengine,
kama mkuu ume dhumunia kupiga io kitu,
anza mdogo mdogo, don ever giveup, hakuna success zinazo kuja kiurahisi rahisi,
ata kwa waganga nako kugumu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sometimes
wale watu walio endelea sana, hua hawataki competitors, xo wanatumia io ktu kuwatisha wengine,
kama mkuu ume dhumunia kupiga io kitu,
anza mdogo mdogo, don ever giveup, hakuna success zinazo kuja kiurahisi rahisi,
ata kwa waganga nako kugumu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah,Mkuuu umenitia moyo kwa kiasi kikubwa saaana!!!! Maaana nilishaanza kuona mpango wangu unabuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unaweza ona ni simple tu kwa vile unaingia na ku-download, hiyo sio website ya kawaida ni kubwa hile na kutengeneza kitu kama hicho kama mtu yuko free ni wiki mwili na zaidi
hahaha sawa sawa mkuu sibishan na wew
 
Back
Top Bottom