Msaada wa CCTV CAMERA

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF mambo vp? Jamani naombeni kufahamishwa jinsi ya kufunga cctv camera au hadi ukapige kitabu?
 
Nivigumu kuelekezwa tu bila vitendo! An way ingia google sachi How to install the cctv camera unataja na aina ya camera hizo!
 
Nakushauri kama unavyo vifaa vyake vyote tafuta proffessional akufungie bila hivyo ukifanya kosa basi utaunguza camera au monitor
 
Unataka uiunge kwa kutumia monitor yake au kwa kutumia PC,je kama ni PC unataka uiunge kwenye server iwe jnatumia internet?
 
Back
Top Bottom