heshima kwenu.
Niaomba kujuzwa bei/gharama ya kununua charger ya laptop (Acer) au kutengwneza adapter iliyoungua na umeme.
mkuu hii yangu nimeshuhudia inapoungua.kwanza umejuaje kama imeungua?
juzi juzi laptop yangu iliacha kuingiza moto ikiniambia adaptor ina matatizo nikacheki adaptor iko sawa nikasema labda betri nikaenda kununua betri. kujaribu betri ambayo haikuwa orijino computer ikawa inawaka lakini inasema haidetect betri.
muuzaji akaniambia nibonyeze swichi ya kuwashia kwa dakika kadhaa bila kuachilia alafu baadae nijaribu kuwasha akasema yawezekana betri nzima. nikawa na wasiwasi lakini nikarudi nikafanya hivyo compyuta ikaanza tena kufanya kazi bila kubadili betri au adaptor.
incase unaweza jaribu kabla ya kukonclude hasa kama umeiweka chini mda.
Exactly. Mm nilinunua kwa 24,000Kanunue mpya tu, nzuri sio chini ya 25000!