Gamepads kwa android smartphones

Msomba Baraka

Member
Feb 22, 2017
72
35
Nauliza wapi ntapata gamepads (game controller za Bluetooth) kwa ajili ya android smartphone.

Hapa Iringa mjini nimekosa....
Msaada tafadhari . .

AHSANTENI SANA..
 
944bb406eaeeef1f8986a95d2e99d992.jpg
 
pad za ps3 au ps4 za bluetooth zinafaa,

pia kama simu yako ina otg connect tu na waya wa pad na kile kiwaya cha otg, hata pad za kichina za 10,000 zinakubali.

pad za bluetooth za android ni 50,000 zipo kibao aggrey.
 
Boom j8 itakua inakubali technologia ya OTG cable??
 
Back
Top Bottom