wataalum hebu nielimisheni kuhusu WIFI

wataalum hebu nielimisheni kuhusu WIFI

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,569
Reaction score
89,213
Si kwamba sijui kbs bali nahitaji kufahamu kiundani zaidi..
kuna baadhi ya maeneo kumekuwa na hudama ya WIFI nataka kujua huo mtambo wake unafanyaje kazi?,hlf ni free intanet sasa makampuni ya simu yananufaikaje na hii huduma?,bei za hiyo mitambo ya WIFI ni shingapi?,kuna ada ya kulipia baada ya muda fulani au ukinunua ndo umenunua jumla..? pia mawimbi yake yanakuwa kwa umbali gani? na ubora wa huduma husika,ni bora kiasi gani..?

Yangu ni hayo.. sipendi ushamba japo wenyewe unanipenda😀
KARIBUNI
 
mkuu fikiria wifi kama waya au bluetooth, ni kipitisho tu cha data na sio internet yenyewe,

wale jamaa wa free wifi wanajiunga vifurushi kama wewe kisha wanatumia wifi kushare vifurushi vyao na wewe.

mfano ipo moja kariakoo pale ya kupatana wanajiunga halotel, na kifurushi kikiisha mb unaletewa ile msg ya halotel ya login failed.

wengi wao hawa wa free wifi ni njaa wanajifanya wanaweka free wifi na kueka internet mbovu huku wanatangaza brands zao kwa gharama nafuu.

kwa sehemu ambazo wapo serious wanakuwa na source ya internet ambayo ni nzuri tofauti na hivi vifurushi vya simu. mfano mtu anaweza akawa na fiber ya internet ina 100mbps, hii hata akishare na watu 1000 kwenye eneo fulani watu wanaweza hata wakasurf vizuri.
 
Vipi kuhusu free wifi za coke-coca cola
 
Si kwamba sijui kbs bali nahitaji kufahamu kiundani zaidi..
kuna baadhi ya maeneo kumekuwa na hudama ya WIFI nataka kujua huo mtambo wake unafanyaje kazi?,hlf ni free intanet sasa makampuni ya simu yananufaikaje na hii huduma?,bei za hiyo mitambo ya WIFI ni shingapi?,kuna ada ya kulipia baada ya muda fulani au ukinunua ndo umenunua jumla..? pia mawimbi yake yanakuwa kwa umbali gani? na ubora wa huduma husika,ni bora kiasi gani..?

Yangu ni hayo.. sipendi ushamba japo wenyewe unanipenda😀
KARIBUNI

Wireless Fidelity (WI-FI) ni mtandao ama teknolojia inayoweza safirisha mawasiliano kwa njia ya Mawimbi ya Radio (Radio Frequency). Mfano Bluetooth

Wireless technology ni mtandao mkubwa sana na unafaida sana kwa maisha ya binadamu ya kila siku.

Wireless sio free kama kama wanavyosema 'There is no free lunch in this world',
-Unaponunua bundle ya internet kwenye simu yako (inategemea unatumia tigo, voda,......), Simu nyingi za smartphone (toleo jipya) zinauwezo wakusambaza internet kwa kutumia technology ya WI-FI HOTSPOT.
-So iko hivi unanunua bundle kwa service provider wako then you provide internet to other people's.

Bei ya mitandao ya WI-FI:
Kuna device's nyingi katika ulimwengu wa sasa mfano Smile Ltd, Huawei, Modems na zaidi....
Hizi companies zinaingia ubia na WI-FI company ambayo ina-control WiFi technology dunia nzima.
-So bei ya WI-FI inategemea na speed, bandwidth ya internet.

Matozo ya WI-FI:
Bundles za. WI-FI inategemea ni kifaa (device) gani unatumia kupata WI-FI internet. Lakini mara nyingi huwa ya siku, wiki, mwezi, pia ziadi (is depend can't commit myself to that).

Mawimbi ya WI-FI:
WI-FI inatumia mawimbi ya Radio kusafirisha mawasiliano. (Topic hii ni kubwa sana ningependa uweze angalia Wikipedia kwa kujifunza zaidi).

Umbali wa WI-FI unaoweza fika:
-150 feet (46 m) indoors and 300 feet (92 m) outdoors.

Ubora wa huduma | Bora kiasi gani?:
-Hapo inategemea unapenda kutumia aina ipi ya huduma.

N.B
WI-FI TECHNOLOGY is quiet a technology that trend this days, there are so many kind of technology that WI-FI support like Cellular data, Bluetooth (Mouse, keyboard, printers and much more).
For details visit www.wikipedia.org
Si kwamba sijui kbs bali nahitaji kufahamu kiundani zaidi..
kuna baadhi ya maeneo kumekuwa na hudama ya WIFI nataka kujua huo mtambo wake unafanyaje kazi?,hlf ni free intanet sasa makampuni ya simu yananufaikaje na hii huduma?,bei za hiyo mitambo ya WIFI ni shingapi?,kuna ada ya kulipia baada ya muda fulani au ukinunua ndo umenunua jumla..? pia mawimbi yake yanakuwa kwa umbali gani? na ubora wa huduma husika,ni bora kiasi gani..?

Yangu ni hayo.. sipendi ushamba japo wenyewe unanipenda😀
KARIBUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom