Kwa wanafunzi, office lens imetoka kwa android

Kwa wanafunzi, office lens imetoka kwa android

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,263
Reaction score
44,391
kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi hii app si ya kukosa inafanya kazi hizi.

1. kwa kutumia camera ya simu unapiga picha ya maandishi yoyote iwe ni kitabu au ubao (white board)
2. hii app itascan ile picha na kuitoa vizuri na quality kubwa
3. hii app ina built in ocr itaconvert ile picha kuja kuwa maandishi na kusave kama microsoft word au onenote
4. file litapelekwa automatic kwenye onedrive
5. kwa kutumia pc yako yenye onedrive utalipata pale pale na kuliedit unavyotaka wewe.

gsmarena_001.jpg


kwa maelezo zaidi vitu inavyofanya angalia hii video
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=qbobZ43II38

download link
android- https://play.google.com/store/apps/details?id=com.microsoft.office.officelens
ios - https://itunes.apple.com/app/office-lens/id975925059
wp- tunayo siku nyingi search store office lens
 
One note nayo kazi zake vipi? Ninayo ktk wp na android.
 
Oyoooo
hakuna haja ya kumaliza pesa kwenye photocopy

Na kwa wavivu Kama Mimi tusioandikaga summary hii inatuhusu Sana

Hofu yangu ni madarasa yanaweza yakageuka photo point
 
Nimeanza itumia inajitahidi. Ila nitaitest zaidi kesho
 
It really works. Hii picha nilivyoipiga. Na ilivyotokea.. Amaizing (3 stars)
 

Attachments

  • 1433138651569.jpg
    1433138651569.jpg
    73.2 KB · Views: 419
👆👆👆👆👆👆 cc chiefmkwawa
 
Last edited by a moderator:
Yap ocr ipo humo humo

I hope ocr ni abbreviation... Ingekuwa poa ukanipa long term yake. Naweza nikajua ni nini maanake sielewi....

Mimi office lens yangu ipo kama hivi
👇👇👇👇👇
 

Attachments

  • 1433342376802.jpg
    1433342376802.jpg
    8.6 KB · Views: 230
  • 1433342391248.jpg
    1433342391248.jpg
    25 KB · Views: 261
  • 1433342417779.jpg
    1433342417779.jpg
    11.1 KB · Views: 237
I hope ocr ni abbreviation... Ingekuwa poa ukanipa long term yake. Naweza nikajua ni nini maanake sielewi....

Mimi office lens yangu ipo kama hivi
👇👇👇👇👇

Optical charachter recognition,

Yaani uwezo wa kutambua maandishi/namba/herufi yakiwa kwenye mfumo wa picha kuja mfumo wa kawaida kama microsoft word ili uweze kuya edit
 
Back
Top Bottom