Habari zenu wakuu.
Kompyuta yangu ina-run games very slow mpaka wakati mwingine inakera, sasa kuna mtaalam mmoja nilizingumza nae akanambia huenda tatizo ni drivers hasa Display drivers, kwa hiyo nibadilishe drivers
Sasa wakuu mi naomba kuuliza kwa wanaofahamu humu kuwa je, drivers zinaweza kupunguza utendaji wa games na nawezaje kubadili drivers na hizo drivers ntazipata wapi?