wewe unaonyesha hujui lolote.. toka lini hosted ikatumika kwenye website bwana mdogoMwenye account mpya kabisa ,isiyo na barua tuwasiliane tufanye biashara.Nataka ambayo ni hosted maana nitaitumia kwa website siyo blog
nb:Kama hujui lolote tafadhali pita kando
wewe unaonyesha hujui lolote.. toka lini hosted ikatumika kwenye website bwana mdogo
unaweza kuwa jf mda mrefu na ukawa bwege na boya kama ulivyo wewe... Nijibu swali langu toka lini hosted account ya adsense ikaweka matangazo kwenye website ... acha undezi we boya hosted inaweka matangazo kwenye blog za .blogspot.com na youtube tuu we bwana mdogo acha ujuaji mwingi wakati hujui lolote ndezi wewe..Ninajua ninalofanya. kama huna pita kando.tazama umejoin lin hapa jf na mimi nimejoin lini kisha utajua mimi nawe nani dogo...
Ninachotaka kama huna kakojoe ulale.
hosted unauzaje.ni pmHabari ndugu, ninayo mpya imekuwa approved jana, njoo tufanye biashara
non hosted bei gani...
alikosea nimempiga makonde mazito kakimbia jumla..Mtoa mada nadhani unamaanisha Non hosted, hii ndo inafanya kazi kwenye website yoyote mradi ikidhi vigezo vilivyowekwa. Hosted kama jina lake linavyojieleza yenyewe ina limitations so nafikiri mtoa mada anahitaji Non Hosted Account, mwenye nayo amsaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app