Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ku~root SIM kuna faida gani? yeyote mwenye ufahamu juu ya hili atusaidie maana nimekuwa nikisikia watu wengi wakizungumzia ku~root SIM hivyo imenilazimu niulize huenda Nami nikataka kufanya...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
wadau habari,vipi hii app ya ITV tanzania naona siku ya Leo kuanzia asubuhi channel zote mbili zinagoma kufunguka,je! tatizo ninaliona Mimi au kunawengine ambao wameona hii kitu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mwenye kujua masafa ya TBC FM iringa mjini.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu nimeishiwa mood usawa huu Leo nimejipinda nimelipia startimes chanel za ndani naambiwa card problem_Chek card. Mbona channel 1 inaitwa stars guide.. Zingine mbona hazidispley.?? Msaada wakuu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar zenu ndugu zangu wanateknolojia,naomben msaada wa muongozo wa kuupgrade android version kwenye samsung galaxy note 11
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu msaada naweza kuipata simu yangu samsung grand prime plus imeporwa na kibaka namna ya kuikamata kwa njia ya mtandao.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nashauri ma it watanzania wafatilie kuhusu issue yakutengeneza katuni ambazo zakitanzania kama za Tom and Jerry au ben10 kama kuna anaejua anijuze napenda Sana nijue tuwasiliane 0692283829
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari...wakuu? nina...private..computer..yangu..hapa..toshiba,old..model..naona..imeanza..kusumbua...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama upo pande za Dodoma njoo uchukue games hizo apo juu free kabisa PES 17 TOMB RIDER 2013 Atleast pc yako iwe na 1GB GPU RAM 4GB 2 DUO CPU
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha, simu yangu ni aina ya Samsung note 5 (Verizon), sasa kuna zile sijui upgrade za Android version, je ikiwa rooted nafanyaje, me Sioux mtaalam sana kwa kweli ila nikielekezwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba..msaada..wa..activation,keys...ya..windows..8.0...wakuu,tafadhali..nimetafuta,nearly..kila..sehemu,lakini,=..nimekosa...nimefika,hapa..hope..siwezi...kukosa.hapa..jukwaani.
0 Reactions
7 Replies
815 Views
I don't think if its possible but let me share this.. First i'm new member here, sijui nilikuwa wapi.. but doesn't matter. I have plenty of video tutorials (programming), i want to share. If not...
1 Reactions
4 Replies
817 Views
Kama kichwa cha habari tajwa apo juu kinavyosema Wana jf , mwenye taaluma ya IT (techinician wa mambo ya information and technology ), na hata mtu yeyote asiye na taaluma hiyo lkn anautalaamu...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Wakuu Kama uzi unavyojieleza,naomba uzi huu uwe special kwa ajiri ya kujifunza kufunga ma-Dish ya Azam,Dstv na Continental Je,kuwa fundi wa Dish unatakiwa kuwa na vifaa gani? Asanteni
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimesikisia Kuna application unatumika kupata namba za vocha bila kununua hii ni kutokana na ugumu wa maisha watu wenye ujuzi waje watuambie wakuu
3 Reactions
49 Replies
12K Views
Wanajamvi mwenye kuweza kujua mshahara wa Lab technician mwenye degree.... Naomba kuwasilisha...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Nielewesheni uɓora na udhaifu wake hiƴo PC
0 Reactions
27 Replies
5K Views
It comes a time umeenda dukani na unapata wakati mgumu kuchagua pc, Kwanza kabisa nasikitika watu wanavyochaguaga pc kwa kihezo cha ukubwa wa hard disk au ram, Hivi ni vitu ambavyo vinaongezeka...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
habari wadau... wataalamu wa IT naombeni ushauri nipitie process zipi ili ni activate window 10 yangu... activation keys nimeambiwa zipo kwenye pc.. je naenda ziweka wapi??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wandugu natafuta kama kuna apk ya autocard ambayo ina features nzuri za disigning
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…