Je Sim yangu nai update vip ipo rooted


Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Messages
1,708
Likes
788
Points
280
Age
30
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined May 31, 2013
1,708 788 280
Husika na kichwa cha, simu yangu ni aina ya Samsung note 5 (Verizon), sasa kuna zile sijui upgrade za Android version, je ikiwa rooted nafanyaje, me Sioux mtaalam sana kwa kweli ila nikielekezwa naweza
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
2,837
Likes
1,049
Points
280
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
2,837 1,049 280
Husika na kichwa cha, simu yangu ni aina ya Samsung note 5 (Verizon), sasa kuna zile sijui upgrade za Android version, je ikiwa rooted nafanyaje, me Sioux mtaalam sana kwa kweli ila nikielekezwa naweza
Ina version gani kwa sasa?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,095
Likes
8,828
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,095 8,828 280
simu za verizon si rahisi kuzi update ukiwa Tanzania, hapo tafuta rom ya hio version mpya uflash mwenyewe, au mtafute mtaalam akusaidie.
 
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Messages
1,708
Likes
788
Points
280
Age
30
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined May 31, 2013
1,708 788 280
simu za verizon si rahisi kuzi update ukiwa Tanzania, hapo tafuta rom ya hio version mpya uflash mwenyewe, au mtafute mtaalam akusaidie.
asante mkuu
 
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Messages
1,708
Likes
788
Points
280
Age
30
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined May 31, 2013
1,708 788 280
Download firmware kisha flash na odin manually
ungenisaidia jinsi ya kufanya kuanzia A -Z ningeshukuru sana , am not a computer guru japo ukinielekeza nina uhakika wa kufanya ,
asante in advance
 
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
534
Likes
363
Points
80
Tomaa Mireni

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
534 363 80
Cha kufanya unroot kwanza
Umeroot kwa software gani??
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
2,837
Likes
1,049
Points
280
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
2,837 1,049 280
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Messages
1,708
Likes
788
Points
280
Age
30
Msuya Jr.

Msuya Jr.

JF-Expert Member
Joined May 31, 2013
1,708 788 280
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
2,837
Likes
1,049
Points
280
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
2,837 1,049 280
nimeenda kule but nimekuta "make sure that the SM – N920V version is listed there." but ya kwangu ni "SM – N920F"
SO what should i do also kumbuka sim yangu ipo rooted
Sasa V sindo verizon

Ingiza simu yako kweny download mode kisha angalia inasoma model gan
 

Forum statistics

Threads 1,215,114
Members 463,036
Posts 28,536,269