Galaxy note 11? Imezalishwa lini mkuu, maana naona galaxy latest ni note 8 baada ya note 7 kupata matatizo ya betri kulipuka. Mi nina note 5 imeupgrade mpaka android 7.0.Habar zenu ndugu zangu wanateknolojia,naomben msaada wa muongozo wa kuupgrade android version kwenye samsung galaxy note 11
Galaxy note 11? Imezalishwa lini mkuu, maana naona galaxy latest ni note 8 baada ya note 7 kupata matatizo ya betri kulipuka. Mi nina note 5 imeupgrade mpaka android 7.0.
LabdaItakuwa zile Tab Note/Tab
Haipo hiyo simu wrong numberToleo la 2014