Hapo ulipo wapi??Anayefanya kazi wapi?
Kama ni hapa nilipo ni 4,070,565.56
Mmhh, huko ni mgodini ?, maana ni km anamzidi hata daktari bingwa.Anayefanya kazi wapi?
Kama ni hapa nilipo ni 4,070,565.56
Mbona una mshahara kidogo sana unawezaje kujimudu na hii kasi ya uncle?Anayefanya kazi wapi?
Kama ni hapa nilipo ni 4,070,565.56
Mbona una mshahara kidogo sana unawezaje kujimudu na hii kasi ya uncle?
KuzimuHapo ulipo wapi??
Kuzimu
Mbona unalilia sasa,wapi unswashwa??Mkuu umeulizwa wewe....mbona unawashwa????
Lab zipo nyingi, za udongo, za maji ,za hospitali,.za viwanda ya vinywaji n.k. unamaanisha lab ipi, na technician mwenye degree ni yupi huyoWanajamvi mwenye kuweza kujua mshahara wa Lab technician mwenye degree....
Naomba kuwasilisha...
PasipojulikanaHapo ulipo wapi??
Kajifunze kuandika kiswahili kwanza mkuuMbona unalilia sasa,wapi unswashwa??
Ok sawaaPasipojulikana