Mswaki wa chuma
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 121
- 95
Ku~root SIM kuna faida gani? yeyote mwenye ufahamu juu ya hili atusaidie maana nimekuwa nikisikia watu wengi wakizungumzia ku~root SIM hivyo imenilazimu niulize huenda Nami nikataka kufanya hivyo nikishajua faida zake.