Kwa wanaojua laptop vizuri ..nijuze ubora wa hii laptop

editor

Member
Sep 22, 2017
34
11
IMG-20171104-WA0014.jpg

Nielewesheni uɓora na udhaifu wake hiƴo PC
 
Kwan wew matumiz yako ni yapi haswa?
Gaming au Ku type na kuangalia movie?
Kama unaangalia movie na Ku type basi imekithi viwango
Ila kama ni Gaming basi processor yake ni ndogo
 
N

Ninataka ƴa gaming,,editing viɗeo,,coɗing..etc..ninahitaji pc yenye sifa zipi..??
 
Hio haikufai Boss kwa kazi unazotaka na recommend yenye Core i3 na Clock 2.8Ghz, Ram ikianzia 4gb good tu
 
sio cpu mbaya mkuu, inafanya basic task zote na utacheza games ndogo ndogo vizuri tu.
 
Mkuu, editing ya video anayokusudia itafanya ila siyo kwa ufanisi. Combination ya processor hiyo na ram average itapelekea rendering ichukue masaa mengi. Kama motherboard inaruhusu expansion ya ram zaidi hadi 8gb basi aongezee ili kuboost performance kidogo.

Kwa kufanya editing ya docs, light gaming na coding ya web au apps bila kuhitaji cpu intensive emulations inafaa.
 
sikuona hio comment yake ya pili, ndio haifai kwa video editing, ila kwa games kiasi fulani atacheza japo si sana.
 
Asanteni jaman kwa msaaɗa wenu ningeingia chaka kumbe..shukrani sana ngja nitafute laptop ƴenye uwezo
 
sikuona hio comment yake ya pili, ndio haifai kwa video editing, ila kwa games kiasi fulani atacheza japo si sana.
chief samahani ivi apps lahisi kutumia kwa ajili ya kuemulator apps za simu zije kwenye pc?nimejalibu andy sijaielewa kbsa.au kama hutojali baada ya kudownload nielekeze process zinazofata.sio mjzi sn na hivi vitu.
 
jaribu droid4x mkuu ni rahisi zaidi.
 
chief samahani ivi apps lahisi kutumia kwa ajili ya kuemulator apps za simu zije kwenye pc?nimejalibu andy sijaielewa kbsa.au kama hutojali baada ya kudownload nielekeze process zinazofata.sio mjzi sn na hivi vitu.
Jaribu Noxplayer iko poa
 
Inategemea na matumizi yako..

Hyo ni kwa ajili ya kutype na kuchek movie.. labda ucheze na game za draft na karata.
 
Back
Top Bottom