Naomba msaada Masafa ya TBC FM. Kwa iringa mjini

Naomba msaada Masafa ya TBC FM. Kwa iringa mjini

Sidhani kama utapata mtu mwenye kujua hayo masafa. Kwanini?
Katika zama hizi sijui kama kuna mjanja wa JF anayesikiliza hiyo TBC fm.
 
Aisee Hivi Kuna watu bado wanasikiliza TBC???
 
[emoji23] [emoji23] Umemwaga petroli kwenye nyasi kavu ngoja wakuwashe usikie.
 
Back
Top Bottom