jinsi ya ku activate window 10.. unafanyeje?? kama keys unazo


F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,486
Likes
6,665
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,486 6,665 280
habari wadau...

wataalamu wa IT naombeni ushauri nipitie process zipi ili ni activate window 10 yangu...

activation keys nimeambiwa zipo kwenye pc..

je naenda ziweka wapi??
 

Forum statistics

Threads 1,214,926
Members 462,941
Posts 28,528,404