Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ndugu wanajamii tafatdhali namba msaada wenu kama kuna program naweza kutumia kuja siku yangu ilipo ata kama imezimwa?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema Kuna laptop aina ya Dell Latitude E5420 Yenye intel core i5 2nd 2.3Ghz generation na 1.6 Graphic card Ram GB4 imekuwa na hili tatizo la kuzima...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu, mimi nimenunua simu ya Samsung s6 edge nchini China na simu hii haikuja na Google Play, na mabo mengi mfano contacts, useful apps zinapatikana Google Play. Nimejitahidi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu za kwenye mitandaoni nimekutana na post kwamba TIIS imekuwa hacked, Watu waliohack wameweka ujumbe kwamba wanataka ajira ,,,, Shuhudia mwenyewe www.tiis.go.tz
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Natafuta movie ya Vantage point YouTube, kwa yule alie na link ya kuipata hii movie msaada naomba anipatie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello! Naomba msaada wa jinsi ya kuingiza app mpya katika tablet ya sumsung p1000,maana najaribu kuingiza inakataa pamoja na kuwa nimesha set email kwenye device,naona inanidai...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
naomba msaada wa chuo au hata mtu ambako naweza kujifunza audio production na music reading kwa mwezi mmoja wa 12 mwaka huu, kwa gharama nafuu. naomba msaada.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nilikuwa nimechomeka external kwenye PC nikawa namuwekea movie baada ya kumaliza nilitoa external niliporudishia ikawa inagoma inaandika Hvi LOCATION is not available Drive is not accessible The...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau habari za humu Moja ya Simu yangu aina ya Ikon imeharibika kioo nimezunguka mjini kote nimekosa accessories za hii simu Anayefahamu branch ya kampuni hii ya simu hapa Dar anielekeze...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ndugu wana jamvi naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kurudisha ma file yangu yaliyo liwana virus kwenye external hard drive kwa kutumia command prompt.....wakati niko chuo kuna jamaa alikuwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Tatizo ni kuwa picha na kuinstall apps zinagoma,inaandika not enough space ingawa simu ina internal memory 8.0 nafasi ambayo ni free ni 7.53,licha ya kureset tatizo bado linaendelea,simu ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Laptop yangu aina ya DELL Latitude E6410 imenigomea kuwaka toka ijumaa ya week hii. Nikiiwasha inaandika "Automatic Repair" ila cha ajabu inaganda hapo hapo.Baada ya muda mfupi Screen inakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wadau Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
GUYS NAOMBA MSAADA MWENYE ROM YA TECNO Y3+ TAFADHARI NAOMBA LINK AMA TUWASILIANE. NAHITAJI HII FIRMWARE: Y3_PLUS-H721A2-KK-TZTG-LC-161010V2
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu! Ninashida ktk simu yangu, kwa kifupi imekufa baada ya kuflash na file ambalo liko chini ya uwezo wake, nina tecno y3 plus, nilichukua details zake kabla sija-flash, ila baada ya...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Amani iwe kwenu wadau wa hili Jukwaa!! Hii Modem ni mpya kabisa nimetoka kununua dukani pale mlimani lakini baada ya kufanya installation kwenye Pc uki ifungua ili uweze ku Connect na internet...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu naombeni msaada kuhusu hivi vidude maana sasa nina wiki ya pili sina umeme kwangu hii Luku ilizima gafla nikawaita Tanesco wamekuja wanasema tulichomeka vitu vinavyotumia umeme sana hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUFICHA PICHA & VIDEO ZA KWENYE GALLERY BILA KUTUMIA APPLICATION. HATUA ZA KUFUATA 1. Ingia Kwenye FILE...
13 Reactions
81 Replies
24K Views
nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu wadau wa JF Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim...
1 Reactions
6 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…