Msaada: Namna ya kuingiza app mpya kwenye Sumsung Galaxy Tablet P1000

aabner55

New Member
Nov 30, 2017
1
0
Hello!

Naomba msaada wa jinsi ya kuingiza app mpya katika tablet ya sumsung p1000,maana najaribu kuingiza inakataa pamoja na kuwa nimesha set email kwenye device,naona inanidai certificates,,sielewi,
aksante..
 
hio ni ya toka 2010, ya zamani sana. jaribu ku update hizo playstore (itakuwa imeandikwa market) kama itakubali.

alternative download store nyengine kama 1mobile market, ila jua si app zote zitakubali humo.

1Mobile Market (Free Android Store) - free download of Android version | m.1mobile.com
 
Back
Top Bottom