Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Katika pita pita zangu za kwenye mitandaoni nimekutana na post kwamba TIIS imekuwa hacked, Watu waliohack wameweka ujumbe kwamba wanataka ajira ,,,, Shuhudia mwenyewe www.tiis.go.tz
admin sio mzuri.ni wakupiga chini anaye control websiteAisee hawa hackers sio wa mchezo mchezo, Katika pitapita zangu za mitandaoni nimekuta kwamba website ya usalama wa taifa imepigwa chini na hackers ambao wameweka ujumbe wa kutaka ajira, Ni wapi tunakwenda
View attachment 642923
View attachment 642924
View attachment 642925
View attachment 642926
Hatuna TIIS bali Tuna TISS angalia vizuri watakuwa wamehack website yao wenyeweAisee hawa hackers sio wa mchezo mchezo, Katika pitapita zangu za mitandaoni nimekuta kwamba website ya usalama wa taifa imepigwa chini na hackers ambao wameweka ujumbe wa kutaka ajira, Ni wapi tunakwenda
View attachment 642923
View attachment 642924
View attachment 642925
View attachment 642926
Hatuna TIIS bali Tuna TISS angalia vizuri watakuwa wamehack website yao wenyewe
TIIS Sio usalama wa taifa ni TRAINING INSTITUTION INFORMATION SYSTEM
Hivi ni Tiis ama TISS
Mods nimewaambia wabadilishe kichwa cha habariUsiwalishe watu matangopori, Usalama wa Taifa ni tiis?...
ya wapi? ya idara gani ya serkali? ambayo ina tumia domain name go.tz?TIIS Sio usalama wa taifa ni TRAINING INSTITUTION INFORMATION SYSTEM
Hawajawahi kua na website!Inaweza kuwa sahihi mbona website ya TISS nimei google siioni?
Jaribu ku search website ya tiss kama iko hewan muda huuHatuna TIIS bali Tuna TISS angalia vizuri watakuwa wamehack website yao wenyewe
Hawana tovuti.Inaweza kuwa sahihi mbona website ya TISS nimei google siioni?
Ni lini umewahi ingia website ya TISS??Jaribu ku search website ya tiss kama iko hewan muda huu