simu yako aina gan?Ndugu wanajamii tafatdhali namba msaada wenu kama kuna program naweza kutumia kuja siku yangu ilipo ata kama imezimwa?
Ndugu wanajamii tafatdhali namba msaada wenu kama kuna program naweza kutumia kuja siku yangu ilipo ata kama imezimwa?
zipo sema huyo mwizi akiflash simu na yenyewe inatokaYangu samsung....
Kama kuna mtu anajua hii kitu asaidie tafadhari
hapo labda TCRA watrack IMEI no. yako baada ya wewe kufungua jalada la kuibiwa simu kwenye kituo cha polisiKwahiyo ata kutambua tuu ilipo haiwezekan
ngoja tusubiri wajuzi zaidi waje kutufunza hapaOk mkuu