Naombeni msaada jamani

Naombeni msaada jamani

Don chul Lingula

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
363
Reaction score
277
Nilikuwa nimechomeka external kwenye PC nikawa namuwekea movie baada ya kumaliza nilitoa external niliporudishia ikawa inagoma inaandika Hvi LOCATION is not available Drive is not accessible The file or directory is corrupted and unreadable nifanyeje naombeni mwenye uelewa anisaidie
 
Zima pc yako na uiwaashe tena au ui restart pc ila ukiizima na kuiiwasha tena itakuwa poa zaid.
Ikisha waka, chomeka tena external yako
 
The procedure works on all windows. I've used it on windows 7
 
Type cmd on search bar, when "command prompt" appears, right click it then choose "run as administrator"
 
When the small dark window appears make sure you follow instructions on that link I gave earlier. The disk letter is the letter the external drive is represented with on "this pc" window.
 
Imegoma bhana mkuu kama uko karibu na PC niandikie kwangu local disk E ndio external naanza hvi C:users Magreth )
 
Imegoma bhana mkuu kama uko karibu na PC niandikie kwangu local disk E ndio external naanza hvi C:users Magreth )
Do as it appears in this picture. But instead of C, enter E
Leave all other entries as in the picture upto "/x" then Press enter. DO NOT ENTER ALL THOSE OTHER DETAILS BELLOW. YOUR PC WILL DETERMINE THOSE
MAKE SURE YOU ENTER SPACES ONLY WHERE THEEE SHOULD BE
IMG_20171202_215642.png
 
Andika chkdsk{space}E:/f/r/x kwa space weka space usiandike "space" na usiweke brakets
 
Mkuu vp embu niambie njia nyingine
OK it looks like your disk is severely damaged thats why its Showing "RAW". If you want to recover the data in it utatumia software liitwawalo "Disk Part Converter" Download it here: [Solved] Diskpart convert RAW to NTFS, fix RAW partition, format RAW to NTFS/FAT32 . Carefully read instructions and follow the steps. FIRST USE; "Data Recovery "Feature then use " Fix Raw to NTFS" feature . Remember RECOVERY FIRST. or you will lose al your data
 
Back
Top Bottom