Msaada wa Kusign in Google Play Store Samsung S6 ya Kichina

ismailjf

Member
Aug 5, 2011
37
26
Wakuu habari za majukumu, mimi nimenunua simu ya Samsung s6 edge nchini China na simu hii haikuja na Google Play, na mabo mengi mfano contacts, useful apps zinapatikana Google Play. Nimejitahidi kudownload na kuinstall Google Play, Play Service na kuangalia ushauri kwenye Youtube, lkn bado sijafanikiwa.

Tatizo linakuja hivi, nikiinstall hivyo vyote, nikija kwenye ku sign in, ina pp up msg ya Google Paly Service has stoped working, nikaenda ku clear catches and data kwenye Google Paly a Paly service lakini sijafanikiwa. Nikiitoa Google play service na kuweka nyingine, nikianzaa kusignin, wakati ina sign in, inasema this will take a few minutes, lkn punde inakuja pop up msg nyingine inayosema- Unfortunately, the process com.google .process.gapps has stoped.

Kuna siku nikafika ushauri mmoja wa kusema HOW TO ROOT YOUR ANDROID PHONE, nikaenda mbele nikakuta cautio kuwa sometimes, usipofanikiwa inaweza kuwa namadhara, nikaachana nayo.

Sasa naombeni ushauri ni nini kinaifanya simu hii kutokukubali kusign in? na nifanye nini msg your google play service has stoped na pia hii ya pili inayaokuja baada tu kuinstall Google play store mpya inayosema Unfortunately, the process com.google .process.gapps has stoped?

ntashukuru kwa ushauri wenu
 
njia rahisi ni kuflash rom ya hongkong. simu ya china na hongkong model inakuwa moja ila rom tofauti.

apps za google bila manufacture mwenyewe kukuekea ni ngumu sana kuzieka mwenyewe, wakati mwengine inakuwa haiwezekani kabisa.
 
Nashukuru sana kaka, hii ku flash si mpaka kwa mafundi kama wa huko nyumbani, huku sidhani kama inafanyika au ni kitu amabyo kuifanya hata mimi tu? Nadhani inahitaji special tools, actually nilinunua kupitia TAobao YA ALIBABA niliselect kuwa mimi ntaitumia Hongkong, nikaacha kuselect USA kwa kujua nako USA sometimes products zao zinasumbua kwetu, Kumbe Hongkong nako ni bure kabisa, ndo walewale.
 
njia rahisi ni kuflash rom ya hongkong. simu ya china na hongkong model inakuwa moja ila rom tofauti.

apps za google bila manufacture mwenyewe kukuekea ni ngumu sana kuzieka mwenyewe, wakati mwengine inakuwa haiwezekani kabisa.
Asante sana, baada ya maelezo yako nimegoogle na kukutana na video hii, yaweza saidia nikifuatilia?
 
Back
Top Bottom