Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kama Kichwa apo juu kinavyo sema laptop yangu gafra IMEGOMA kutumia keyboard naisi nimelock Sehemu ni aina ya Toshiba MSAADA ndugu wa forums
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi Guys, Ni app ipi ya whatsApp yenye size ndogo interms of MB? Maan hi ya kwaida ni more than 260MB. Kwa sisi wenye simu zenye memory ndogo inakuwa tabu tupu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Si ajabu sana kuona teknolojia mpya kwa sasa, wana sayansi wamevumbua mfumo utakaowezesha ubongo kuingiza akili yoyote unayo taka kutokana na mahitaji unayotaka. Mfano kama unataka kujua kareti...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna hii app ya MPESA.Nimeijaribu kwenye Wifi ikakataa error message ni kwamba mpaka kutumia mobile data.Nikatumia mobile data kwa Halotel ikaonyesha haipati server.Nikatumia VodaCom data ndo...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
habari za mudaa huu wana tech, kama mada inavyosema nahitaji developer atakaye develop a native app ya Mjasiriamali Desk Site kwa Android na iOs (Iphone) yenye muonekano na features kama facebook...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari. Najua huku kuna ma-expert wengi. Nataka kufungua TV station. 1. Nahitaji vifaa gani? 2. Gharama yake ikoje? 3. Kujiunga kwenye makampuni e.g Star times gharama zikoje? 4. Je...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari Zenu wana Jf, Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+. Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji...
22 Reactions
92 Replies
29K Views
Leo nimeanzisha FORUM changa, hi inaitwa MaarifaForum Hi sasa itakuwa hewan mda mfupi ujao. Ni site ambayo itakuwa ikiandika maswala ya elimu,teknolojia,burudani,afya nk na content s zote zitakuwa...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
nina simu ya halotel H8401 ambayo ipo locked nataka kuwa natumia line yoyote ile kwenye slot 1 mwenye utalaam anisaidie namna ya ku unlock please.
0 Reactions
0 Replies
646 Views
iphone 6 yangu ilianguka kioo kikaharbika baada ya kubadilsha kioo camera zote front na back hazifanyi kaz na flash haiwaki nime reset all settings bado tatzo lipo inaonesha black msaada mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nokia inaonekana wanakuja kwa kasi na wanataka kuwin trust ya consumers kwa mara nyingine. Katika utumiaji wangu wa smartphone, nimekuwa muumini wa Androd platform kwa muda mrefu sana, na katika...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Express Accounts... Hii ni soft ware ya Kibiashara ambayo inaweza ikakusaidia kupunguza upotevu wa hela pindi unapokuwa unasimamia Biashara yako. Inawezekana ilishawahi kuwekwa huku Jf ila...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama upo Mza Na Pc au Laptop yako haiko protected Na unahitaji kuiprotect njoo tushare hii product ya Two users. wewe utachangia 20000/= tu maana product yenyewe Ni 50000/= Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello! Bosses, Nimepata tatizo kwenye flash yangu nilikua na copy file kutoka kwenye computer kwenda kwenye flash mara gafla ika stop baada ya kustop nikaitoa ile nairudisha tena ikaleta "your...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini wana JF Nimezoea kuinstal Windows kwakutumia CD yenye Windows moja tu, Naomba kuuliza vipi kuhusu CD yenye Windows zaid ya moja, huwa inaleta option yakuchagua Windows mojawapo ili ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama Una mpenzi wako simu yake abakuachi lakin ukitaka kwenda kene WhatsApp kaipiga pini, ukienda kene sms kailamba pin Sasa hapa utajua namna ya kuingia kene apps zoote alizo lock pasipo kumuomba...
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Kama nilivyo sema hapo juu..nazani naweza kueleweka kuwa mwanzo nilikuwa nikichukua sim 6a huawei nikichomeka usb file zote zinaonekana kwenye tv..nafanya yangu kama ku play music hapo..sas kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naulizia kuhusu simu aina ya Nile X kama imeshafika Tanzania? Au itafika lini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yona Fares Maro The ICT Pub SOMO KUHUSU PROGRAMU/SOFTWARE BANDIA Kumekuwa na ulanguzi wa programu/software haswa za kompyuta zinazofanywa na watu mbalimbali haswa kwenye nchi ambazo hazina...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom