Size ndongo (MB) ya WhatsApp

Size ndongo (MB) ya WhatsApp

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
Hi Guys,
Ni app ipi ya whatsApp yenye size ndogo interms of MB? Maan hi ya kwaida ni more than 260MB. Kwa sisi wenye simu zenye memory ndogo inakuwa tabu tupu
 
whatsapp play store ina Kama mb 35 Kama sikosei hapo kwenye 125 Sijui labda umeshaifanyia install
 
Hi Guys,
Ni app ipi ya whatsApp yenye size ndogo interms of MB? Maan hi ya kwaida ni more than 260MB. Kwa sisi wenye simu zenye memory ndogo inakuwa tabu tupu
260MB Whatsapp hiyo itakuwa game labda.
 
Yani baadhi yenu wengi humu hamjamuelewa ni hivi WhatsApp file huenda ina 18
Lakini ukisha install huwa inachukua space zaidi kufikia hata 300MB jinsi muda unavyozidi, Cha msingi kila baada ya muda lazima uclear na hata ukiclear lazima utakuta bado imechukua nafasi Kama ya 142MB...
 
Labda kama ni whatsupp lakni whatsapp yenyewe haina Mb260 angalia tena vizuri
 
Back
Top Bottom