Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,021
- 831
Kama nilivyo sema hapo juu..nazani naweza kueleweka kuwa mwanzo nilikuwa nikichukua sim 6a huawei nikichomeka usb file zote zinaonekana kwenye tv..nafanya yangu kama ku play music hapo..sas kwa hii samsung nikiweka hiv mass storage inakuja nikibonyeza hapo ina chaji tu..file hazionekani..nimejalibu cable tofauti tofauti lakini inagoma..hata tecno pia inagoma huawei ndiyo inakubali simple tu..naomba tusaidiane jamani kwa wenye ujuzi hapa