Msaada: Jinsi ya ku-format/remove write protected kwenye flash drive

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Hello! Bosses,

Nimepata tatizo kwenye flash yangu nilikua na copy file kutoka kwenye computer kwenda kwenye flash mara gafla ika stop baada ya kustop nikaitoa ile nairudisha tena ikaleta "your flash drive is write protect" huwezi kufuta kitu au kuweka kitu.

Nimejaribu kuiformat imekataa inaleta drive is write protect flash yangu ni LEXAR 16GB
Pia nimetumia DISKPART imekataa inaleta error diskpart haifanyi kaz/imeshidwa kuremore write protect.Natumia window 7ultmate.

Kama kuna njia nyingine au software inayoweza kutoa hii write protect kwenye flash naomba nisaidie.
 
Hello! Bosses
nimepata tatizo kwenye flash yangu nilikua na copy file kutoka kwenye computer kwenda kwenye flash mara gafla ika stop baada ya kustop nikaitoa ile nairudisha tena ikaleta "your flash drive is write protect" huwezi kufuta kitu au kuweka kitu nimejaribu kuiformat imekataa inaleta drive is write protect flash yangu ni LEXAR 16GB
Pia nimetumia DISKPART imekataa inaleta error diskpart haifanyi kaz/imeshidwa kuremore write protect
Natumia window 7ultmate. Kama kuna njia nyingine au software inayoweza kutoa hii write protect kwenye flash naomba nisaidie

Ukifanikiwa nijulishe Mkuu maana yangu nimeweka store baada ya kupata tatizo hilo. DISKPART inafanyakazi only if unakumbuka hilo tatizo umepata kwenye computer gani but mimi sikumbuki maana zipo computer nyingi.
 
Hello! Bosses,

Nimepata tatizo kwenye flash yangu nilikua na copy file kutoka kwenye computer kwenda kwenye flash mara gafla ika stop baada ya kustop nikaitoa ile nairudisha tena ikaleta "your flash drive is write protect" huwezi kufuta kitu au kuweka kitu.

Nimejaribu kuiformat imekataa inaleta drive is write protect flash yangu ni LEXAR 16GB
Pia nimetumia DISKPART imekataa inaleta error diskpart haifanyi kaz/imeshidwa kuremore write protect.Natumia window 7ultmate.

Kama kuna njia nyingine au software inayoweza kutoa hii write protect kwenye flash naomba nisaidie.
hiyo flash ndo ishakufa
sijui kama kuna mtu anaweza kuondoa write protector. but jaribu kuiformat iyo flash kwa kutumia OS nyingine kama Linux au Remix os.
 
Back
Top Bottom