Kuna hii app ya MPESA.Nimeijaribu kwenye Wifi ikakataa error message ni kwamba mpaka kutumia mobile data.Nikatumia mobile data kwa Halotel ikaonyesha haipati server.Nikatumia VodaCom data ndo ikakubali.Sasa kama app ni ya Internet kwa nini ibague Wifi na mobile data za mitandao mingine isipokuwa VodaCom tu.