Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,090
Habari Zenu wana Jf,
Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.
Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji Pc.
Tuache maneno. Twende na muziki sasa.
Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)
Fanya yafutayo.
1, kweny hiyo simu ingia PLAYSTORE,alaf download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.
2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering,
3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY
4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo
5,ukimaliza step 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK ,
6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678
7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.
8, restart simu yako na kila kitu kitakua poa.
Enjooooooy
Huduma ya unlock codes ya simu za voda ipo, najitahid kukamilisha mfumo wa remote unlock ili niwafikie weny simu zenye security ngumu
Wenu mtiifu
PHILLZ UNLOCK SERVICE