Kati ya Lumia 630 na Nokia XL ipi bora.?

Kati ya Lumia 630 na Nokia XL ipi bora.?

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,121
Reaction score
4,788
Nokia inaonekana wanakuja kwa kasi na wanataka kuwin trust ya consumers kwa mara nyingine. Katika utumiaji wangu wa smartphone, nimekuwa muumini wa Androd platform kwa muda mrefu sana, na katika muda mrufu huu nimetokea kuichukia android kadri siku zinavyozidi kwenda. Sababu zinazonifanya niichukie.
1. Iko ina stuck bila sababu mara kwa mara.
2. Inaweza ikacrash ghafla na kupelekea ulichokuwa ukikifanya kupotea.
3. Simu zake nyingi ni majini ya chaji/simu za android nyingi inaonekana zina consume power kubwa sana.

Hivyo basi, nina mpango wa kushift kutoka android ( hususan Samsung, kwani muda wote huu nimekuwa nikitumia samsung kwa kiasi kikubwa ) . Wakati nikiwa na wazo hilo la kuhama, naona nokia kaja na vitu viwili ambavyo nahisi vitanifaa.

Moja alitangulia kuja na X series yenye custmized android platform ( Hapa niliipenda XL) , pia wakati sijakaa sawa nimepitia review mbalimbali net nikaona pia anategemea kurelease LUMIA 630 ambayo itakuwa na windows 8.1. Zote hizi naona kuna vitu zinazidiana, na ningependa pata review toka kwa Nokia/Windows O users

Sifa za simu niipendayo mimi ni hizi.
1. Dual sim ( zote zinayo )
2. Screen kubwa.
3. Price isiwe kubwa sana ( ~$ 170 hivi )
4. Iwe inakauwezo wa kukaa na chaji walau 14 hour, maana nimechoka kuwa natembea na chaji. ( Matumizi yangu ya simu kidogo yamechangamka )
5. Iwe tough, somehow resistant kwa viscratches vidogovidogo (samsung nyingi zimefail hapa ). I trust nokia katika hili as, huko nyuma alipata prove kwa simu zake za symbian.
6. Iwe ina perfomance nzuri with respect na unachokifanya, sio unafungua dial list simu inachukua sekunde 10 nzima mpaka unaletewa list. ( hili nimeliona katika simu nyingi zinazorun android.)

So ushauri, Ukosoaji n.k unakaribishwa.

CC : Chief-mkwawa, C6 ( mna michango iliyotukuka juu ya nokia hapa jamvini ). Na wale woote ambao manafahamu something katika hili, mnakaribishwa kutoa michango yenu ya mawazo.
 
kwanza nieke challenge kidogo kuna lumia 625, ina 2000mah battery, kioo kikubwa kidogo yaani 4.7 compare na 4.5 ya 630, pia ina front facing camera pamoja na camera yake inauwezo wa kuchukua full hd yaani 1080p wakati ya 630 ni hd ya kawaida yaani 720p.

ukiangalia kwa ukaribu utaona 625 ni nzur kuliko 630 japo hii 630 itakuja na wp 8.1 toka kwenye box.

tuje kwenye mada.
kwanza kabla ya kuamua hizi simu unatakiwa uchague os kaka either hii nokia platform ya android au windows phone. hizi ni baadhi ya comparison zitakusaidia.

1. navigation.
kwenye wp utapata full nokia map pamoja na drive+ ambazo ni offline na zinatumika dunia nzima. kwenye x utapata offline licence ya nchi 1 tu kama wewe sio msafiri hapa haitabadili kitu ila kama unasafiri sana wp ni nzur.

2. app style
wp ina apps nyingi za productivity kama office, one note lakini app za michezo kama games zipo ila sio nyingi kama android.

full list utaipata hapa
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...725-windows-phone-vs-android-niende-wapi.html

ukishaamua sasa unataka android au wp then ndio utaamua ununue sim ipi.

kuna vitu hivi pia vielewe.
1. samsung inatumia touchwiz ni nzito ukitumia sim nyengine speed itaongezeka kidogo ila usitegemeee wonders sana android ni android.

2. hizi nokia x series hazina apps za google wala playstore utatumia 3rd party store kama amazon, yandex na nokia store au kwa kudownload kutoka website mbal mbal za internet.
 
Kaka chief asante nimepitia hiyo link vizuri na kucheki yaliyomo, katika OS hapo sina ugomvi sana na android, kwani kuchukia kwangu android kunatokana na sababu nilizoziweka hapo juu. Na kilichonifanya niimention XL ni kutokana na kuwa hiyo android ya katika XL imesukwa upya from scratch na Nokia, hivyo naimani haitakuwa na bugs kama android hizi nyingine.

Wakati huohuo ninahisi nikienda WP 8 nitapata test tofauti na iliyopo katika ordinary android ( nahofia android hii ya nokia isije ikawa ndio walewale kama android ya wakina samsung ).

Kuhusu utumizi wa simu, utumizi wangu wa simu ni mchanganyiko. Somehow naitumia in a productive way (GPS, Office, emails sync etc ) and somehow naitumia kama social/entertainment gadget (Games, Music, video clips, camera etc. ) so hapa niko 50, 50.

Kuhusu security siko concerned sana na security as siko na malicious movements kihivyo, na siko nahold data so senstive kuhitaji security kubwa sana, ila najua inahitajika katika maisha ya kila siku na haitapunguza kitu nikiwa nayo.

Kiufupi concern yangu ya kuendelea kumention android ni kuwa naamini kuwa nokia kaifanyia mambo makubwa hii OS kutoka katika hii anroid tuliyoizoea (still hypothetical, as reviews bado haziko nyingi sana toka kwa watumiaji wake as stil haijasambaa sana ). Ila pia naamini itakuwa smooth na imefanyiwa customization kama MiUi ya Xiaomi.

Pia kuzicompare hizi simu mbili ni kutokana na dual sim functionality, as unavyojua nchi yetu hii network haiko well established, na mimi ni mtu wa kuzunguka, so nahitaji dual sim option in sake of network backup. So dual sim functionality ni kigezo changu kukubwa cha simu ninayoitumia.

Mwisho wa yote ni budget, nahitaji simu isiyozidi $ 200, ni hayo tuu.
 
Nilikuwa nampango wa kununua Nokia X ila Chief kanidiscourage aliposema zinatumia 3rd party Store
 
Nilikuwa nampango wa kununua Nokia X ila Chief kanidiscourage aliposema zinatumia 3rd party Store

kuroot nokia x ni dk 1 yani kama una utaaalam kidogo ndani ya dakika 5 tu ushaitoa rom ya nokia ukaeka rom nyengine lakini kama anavyosema hapo jamaa juu hutapata perfomance nzuri.

nokia x ina ram 384mb ambayo mtumiaji anatumia na free ram ni around 180 hadi 160mb. hii niliona review unit sijajua kama kwenye final unit hizi za madukani watakua wame improve. so ram hii iko optimized na rom ya nokia ambayo ni nyepesi ukieka rom nyengine na apps za google itakua ni balaa expect perfomance mbovu.

hata nokia wenyewe walisema wametengeneza nokia x kwa ajili ya watu ambao sio power user. kama una mzazi au mtoto unataka umpe smartphone nzuri nokia x inafaa au hata wewe mwenyewe kama matumizi ni whatsap na kupiga na kupokea simu nokia x inafaa haina tatizo.

kama unataka decent smartphone ni bora iwe nokia x+ au nokia xl sababu hizi zitakuwa na free ram around 300mb (kama galaxy s3) na pia zina vitu vyengine exrra kama battery kubwa na camera nzuri.

wasi wasi wangu ni upatikanaji maana nimesoma habar moja kuwa nokia x+ itapatikana nchi 7 tu na xl nchi kama 100 hazitakua world wide ila nokia x pekee ndio worldwide kasoro usa, korea, uk na japan.
 
Kaka chief asante nimepitia hiyo link vizuri na kucheki yaliyomo, katika OS hapo sina ugomvi sana na android, kwani kuchukia kwangu android kunatokana na sababu nilizoziweka hapo juu. Na kilichonifanya niimention XL ni kutokana na kuwa hiyo android ya katika XL imesukwa upya from scratch na Nokia, hivyo naimani haitakuwa na bugs kama android hizi nyingine.

Wakati huohuo ninahisi nikienda WP 8 nitapata test tofauti na iliyopo katika ordinary android ( nahofia android hii ya nokia isije ikawa ndio walewale kama android ya wakina samsung ).

Kuhusu utumizi wa simu, utumizi wangu wa simu ni mchanganyiko. Somehow naitumia in a productive way (GPS, Office, emails sync etc ) and somehow naitumia kama social/entertainment gadget (Games, Music, video clips, camera etc. ) so hapa niko 50, 50.

Kuhusu security siko concerned sana na security as siko na malicious movements kihivyo, na siko nahold data so senstive kuhitaji security kubwa sana, ila najua inahitajika katika maisha ya kila siku na haitapunguza kitu nikiwa nayo.

Kiufupi concern yangu ya kuendelea kumention android ni kuwa naamini kuwa nokia kaifanyia mambo makubwa hii OS kutoka katika hii anroid tuliyoizoea (still hypothetical, as reviews bado haziko nyingi sana toka kwa watumiaji wake as stil haijasambaa sana ). Ila pia naamini itakuwa smooth na imefanyiwa customization kama MiUi ya Xiaomi.

Pia kuzicompare hizi simu mbili ni kutokana na dual sim functionality, as unavyojua nchi yetu hii network haiko well established, na mimi ni mtu wa kuzunguka, so nahitaji dual sim option in sake of network backup. So dual sim functionality ni kigezo changu kukubwa cha simu ninayoitumia.

Mwisho wa yote ni budget, nahitaji simu isiyozidi $ 200, ni hayo tuu.

kaka kama umefika dola 200 ina maana kuna simu nyengine inaongezeka ambayo ni moto g. moto g inatumia stock android ambayo kidogo ni nyepes kuliko touchwiz sema ni simu ya kimarekan haina memory card wala battery haitoki.

kuhusu nokia xl sina cha kuongea sana sababu sijaishika au hata atleast kuona final unit wakitumia apps na games, ila nina uhakika nokia kafanya optimization nzur sababu kama kamanage kuieka symbian kwenye ram 64mb hatashindwa kuieka android kwenye 7xxmb ya ram.

ila pia tatizo jengine la android ni apps zake nyingi hazipo optimized oem anaweza ifanya android nyepes then app zikaja kuharibu os.
 
Nunua Nokia Lumia 630, hawata kudisapoint
 
kuroot nokia x ni dk 1 yani kama una utaaalam kidogo ndani ya dakika 5 tu ushaitoa rom ya nokia ukaeka rom nyengine lakini kama anavyosema hapo jamaa juu hutapata perfomance nzuri.

nokia x ina ram 384mb ambayo mtumiaji anatumia na free ram ni around 180 hadi 160mb. hii niliona review unit sijajua kama kwenye final unit hizi za madukani watakua wame improve. so ram hii iko optimized na rom ya nokia ambayo ni nyepesi ukieka rom nyengine na apps za google itakua ni balaa expect perfomance mbovu.

hata nokia wenyewe walisema wametengeneza nokia x kwa ajili ya watu ambao sio power user. kama una mzazi au mtoto unataka umpe smartphone nzuri nokia x inafaa au hata wewe mwenyewe kama matumizi ni whatsap na kupiga na kupokea simu nokia x inafaa haina tatizo.

kama unataka decent smartphone ni bora iwe nokia x+ au nokia xl sababu hizi zitakuwa na free ram around 300mb (kama galaxy s3) na pia zina vitu vyengine exrra kama battery kubwa na camera nzuri.

wasi wasi wangu ni upatikanaji maana nimesoma habar moja kuwa nokia x+ itapatikana nchi 7 tu na xl nchi kama 100 hazitakua world wide ila nokia x pekee ndio worldwide kasoro usa, korea, uk na japan.

Nimekupata mkuu,kwa taarifa hiyo bora niendelee kutumia mchina wangu tu tecno m3
 
But kwenye Specification za Nokia X mtandaoni wameandika RAM ni 512 mb
 
But kwenye Specification za Nokia X mtandaoni wameandika RAM ni 512 mb

kaka hio ina maana ndio manufacture yaani nokia ameeka kwenye simu lakini haimaanishi kuwa ndio utakayopata wewe kutumia.

ngoja nikupe mfano uone wa galaxy s3. kwenye specification inaandikwa ina ram 1gb lakini kiukweli mtumiaji anapewa 828mb na kati ya hizo around 500 mpaka 600mb zinatumiwa na system na bloat apps hivyo unakuta free ram ya mtumiaji ni kama 200 mpaka 300mb tu.

k5bibGM.jpg

so simu kufanya kazi vizuri si ukubwa wa ram bali kiasi cha ram kinachobaki ili mtumiaji aweze kukitumia ndio kinachofanya simu iwe fast.

kwenye hio tecno m3 yako jaribu kwenda setting halafu apps au application manager then swipe hadi running apps, utaona kwa chini ram na kiasi gani kipo free
 
Nimejaribu kufanya review tena kwa mara nyingine kwa umakini zaidi na hizi ndio tofauti zake nilizokumbana nazo.

Lumia 630:
* Haina flash light
*haina java support.?
*Haina front camera.
*Browser haisupport flash.
*Haina Compass sensor.

XL
*Haina gyro sensor
*Ina PPI ndogo (178 compared na 221 ya 630)
*internal storage ndogo(4GB compared na 8GB)
*nayo browser hasupport flash.
 
kaka android unaweka flash manual haina tatizo, na html5 pia inahandle mambo meng ya flash kwenye case ya wp. na hizo weakness nyengine za 630 hazipo kwenye 625.
 
Chief we ndo mungu wetu wa ujuz wa haya mambo hakika niliamua kutimiza ushauri wako wa kununua HUAWEI Y300 ni nzur sana ila ugen w haya mambo mtihan,vifuatavyo vinani disapoint kabisa
1.chaji inaisha 1day
2.salio kupungua hata kama haupo net
3.siwez kudownload nyimbo,movie,na video kupitia Google,opera min.
4.nimerusha nyimbo kutka sim nyingine ndo imeleta prblem yaan ukiwa unascruch haikupeleki unapotaka,ukibonyeza kutaka hiki inaleta kile yana imeniboa cjui hata nifanye nn, msaada jaman if pocble.
 
kaka please futa hilo neno mungu umenikosea sana.

1. chaji kuisha siku moja ni kawaida kwa smartphone za kisasa unaweza kuongeza muda wa simu kukaa na chaji kwa kupunguza mwanga, kuek edge(E) badala ya 3g pamoja na kurun apps chahce kwa mpigo. simu yenye app nyingi hukaa na chaji mda mchache.

2. kwenye smartphone kuna apllication hufanya kazi chini kwa chini kama vile whatsapp au facebook hata usipoingia internet basi kuna app chini kwa chini huingia internet ni vyema uwe muda wote una internet bundle au uwe unaeka hela kwenye mpesa, tigopesa, zpesa.... naunahamisha pale unapotaka kutumia

3.nenda playstore search tubemate utaweza kudownload vitu vingi youtube zikiwemo movies na video

4. hebu elezea kirefu kidogo
 
Nisamehe sana ndugu yangu ilikuwa n kughafirika huko, nashukuru kwa maelezo yako kuhusu 4.ni kwamba nilirusha nyimbo kutoka sm nyingine sasa ikawa nikitaka kuifungua pacword ukitach herufi 1 inajiandika doti hata 5 ukifuta n kama unaongeza zingine.
PIA KWENYE GMAIL TOKA NIMEFUNGUA NAKOSA OPT YA SIGN OUT SO all the tm iko open.
VP mkuu maswala ya logo za kampun uko poa nikutafutie dili?
 
jaribu kutumia njia nyengine kutuma file kama vile kuhamisha na usb cable au kwa kutumia memory card.

kuhusu gmail nenda setting hala accont nenda kadisable synchronisation ya email.

hapana sitengenezi logo
 
Chief habari yako kaka. Me nilikuwa na katatizo kidogo kwenye simu yangu. Nina Nokia lumia 630, tatizo ni hili nilimuazima jamaa yangu simu atumie kwenye maswala yake ya internet sasa ile ananirudishia akawa amevuruga vitu vingi na jambo la ajabo ambalo nashindwa kulitatua ni upande wa sim card aliweka kwenye Airplan mod(flight mod) nimehangaika kuitoa kwa kadri ya utundu wangu nimeshindwa. Na unapotaka kuiweka off airplain simu inachemka na tach inakuwa nzito. Nisaidie kaka tatizo litakuwa nini. Thanks
 
Back
Top Bottom