Vodacom M-Pesa API for Android/iOS/WP8/BalckBerry/Web?

ub16

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
420
316
Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na sifahamu kitu kuhusu tigo.
 
mkuu midcom wanayo wanafanya online transaction kwa kutumia mpesa. hata kama hawajairelease private itakua inapatikana
 
Hakuna api ya mpesa, nadhani hawataki wengine watajirike.
 
Hakuna api ya mpesa, nadhani hawataki wengine watajirike.
nna uhakika ipo, kuna kampuni ambayo inafanya integration ya online transactions na mpesa huko kenya sasa imefika hapa kwetu....

unaweza kununua tiketi ya fastjet kupitia mpesa online
 
Duuh! mm hapa nimechora zombie
wakunielezea hiii question aliyoleta maana sijaelewa kitu naona android,ios na web, Duuuuh!
 
C6 mfano mwingine mzuri ni Application za Loan Board via OLAS

na mimi nimekuwa interested kufuatilia hii kitu atakayefanikisha aendelee kutujuza
 
Last edited by a moderator:
C6 mfano mwingine mzuri ni Application za Loan Board via OLAS

na mimi nimekuwa interested kufuatilia hii kitu atakayefanikisha aendelee kutujuza
Donn anashugulikia hii kitu maana we need it, nimemuachia kazi
 
Last edited by a moderator:
In Kenya safaricom pia hawajatoa API ya mpesa ila kuna jamaa mmoja (Danish Kenyan) anaitwa mike pedersen aliamua kutengeneza mwenyewe na kuirelease as an open source app get it here through the API's git repo
Code:
[URL]https://github.com/pluspeople/pesaPi[/URL]
mind you that's un official API na haikua tested kama inafanya kazi kwa mpesa ya tanzania see this question here
Code:
[URL]https://groups.google.com/forum/#!topic/pesapi/201BNF7Lcnk[/URL]
ila you can download it and test, mimi nilishaidownload ila sikuwahi kujaribu kuitest because i was too lazy to start (procrastination) video on how to integrate it is found here
Code:
[URL="http://www.youtube.com/watch?v=bQ3AuBuFIM0"]PesaPi: Mobile money on your website in 16minutes - YouTube[/URL]

Kuhusu kampuni hapa bongo ambazo wameshaweza kufanya integragion, i think walichofanya ni kulipia ile special number which most of use small developers can't afford, maana hata ukiangalia jamaa wa vinjari.com wao ukitaka kulipa lazima uingize ile number yao so i will assume its the same with fastjet (i have never paid fastjet with mpesa)

There was a guy in kenya who wrote an article on how to do it but he didn't finish it i don't know why but ukiisoma itakupa mwanga how to get started read here
Code:
[URL="http://coderhalisi.blogspot.com/2010/06/creating-simple-mpesa-payment-system.html"]The Open Source Hacker: Creating a simple MPESA Payment System for your Website - Part 1[/URL]
to create your own.

Anyways kama kuna mtu atajaribu na kufanikiwa atuambie au kama vipi tukutane tujaribu kutengeneza as developers then tuirelease as an open source project
 
I checked pesaPi a while back ila niliona kwenye Google groups some people saying kuwa the API is broken in some places and it never worked in Tanzania...
 
Vodacom wamekuwa wakirelease API yao kwa makampuni makubwa tu.... Nimeongea na kampuni 2 za Kenya ambazo zinadeal na hizo online Mpesa transactions. Kenya developers walilalamika sana mpaka angalau API ya MPesa imewekuwa inapatikana.....

Ila hapa kwetu wanaishia hao hao makampuni makubwa.... Ishu ni kuonesha nia ya dhati.... naamini tukikomaa watatoa tu kama kenya
 
Nimeshawahi kuuliza hii kitu sikupata response yoyote.
Issue serious kama hizi hawa jamaa wanachukulia utani
 
Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na sifahamu kitu kuhusu tigo.
Kuhusu kampuni hapa bongo ambazo wameshaweza kufanya integragion, i think walichofanya ni kulipia ile special number which most of use small developers can't afford, maana hata ukiangalia jamaa wa vinjari.com wao ukitaka kulipa lazima uingize ile number yao so i will assume its the same with fastjet (i have never paid fastjet with mpesa)

Anyways kama kuna mtu atajaribu na kufanikiwa atuambie au kama vipi tukutane tujaribu kutengeneza as developers then tuirelease as an open source project
Wakuu Hawa Voda Tz wamesha release hiyo api? Safaricom kenya inapiga mzigo so far, I really needed to know about this maana nina on going project inatumia mobile payment intergration, so far ni tigo na airtel tu ndo wanaonyesha mwangaza ila hawa voda ndo sijui hata napataje api yao, na hawajibu email zangu na sipo bongo so far labda ningeweza kwenda kwa office zao. Help needed plz Stefano Mtangoo zech Graph ub16
 
So far ni story za mjini tu. Siku nikipita pale nitaulizia nipate jibu lao official. So far sijui ukweli ni upi!
 
So far ni story za mjini tu. Siku nikipita pale nitaulizia nipate jibu lao official. So far sijui ukweli ni upi!
Shukrani mkuu, hizi Telecom company zetu pasua kichwa ile mbaya! , Tigo nao wana sema "haifanyi kazi,please test your implementation", wanadai tatizo lipo kwangu but at the same time hawasemi tatizo ni nini, na email nazo hawajibu, sasa hii tena inakua mitihani mikubwa kwakweli!
 
So far ni story za mjini tu. Siku nikipita pale nitaulizia nipate jibu lao official. So far sijui ukweli ni upi!

Mi nilipita wakaniambia lazima niende mwenyewe, alafu wakasema wakague app yangu waangalie na code ikiwezekana wacode wenyewe part inayodeal na payment. Nilishangaa sana hakuna sababu whatsoever ya kufanya kitu kama hicho.
 
Nha! That was too much!
 
Back
Top Bottom