Natambua uwepo wa watalaam hii makitu humu ndani, heshima kwenu. Aina ipi ya heat controller/ thermostat inafaa kwa incubator ndogo, kati, mpaka kubwa. Lengo ni kuandaa home made incubator maana...
Habari wanajamvi, naomba msaada mwenye kujua kuhusu simu tecno cx inapeleka chaji kwa speed ndogo sana yan kwa nusu saa inaweza peleka asilimia 5, pamoja na kubadil charger kadhaa lakin tatizo...
Hivi karibunu nilikuwa nachukua kozi za java online na sasa naweza kuandika "Hello world" kwa lugha ya java
<?xml version="1.0" encoding="utf-8"?>
<LinearLayout...
watalaamu nina simu mbili,tatizo linakuja kwenye signal za internet nikiweka laini ya tigo kwenye Tecno h6 inasoma h+,nikibadili laini hiohio kwenye Tecno w4 mtandao unahamahama Mara h+ Mara 3g na...
Wapendwa,
Ni mwezi mmoja tu tangu nimewaamini tecno na kununua simu yao aina ya Camon CX. Naomba nielekezwe zilipo ofisi zao hapa Dar kwa ajili ya kufanya marekebisho ya sauti kwa maana simu...
Leo wakati na install Windows 8.1 nilijikuta naformat local disk C kuangalia kumbe Window setup haikuwa inasatisfy computer
Hivyo nikarudi kuwasha komputer yangu ili nilog in ila ikagoma...
Kupitia Mtandao wa CNET unaojihusisha Na technology ya habari na mawasiliano, wamechapisha kuwa. Kampuni ya Samsung Watazindua Latest Simu yao kwenye Mlolongo wa S. Simu hiyo itakwenda kwa jina la...
MSAHADA MKUUU!!! jinsiya Ku Root huawei y3II lua L21 ina android 5.1 nime download king Root nika Root ikifikia kwenye asilimia 30% ina ji ristat nikitumia kingoroot ina gom naomba msahada mkuuuu
Kwa wale ambao wanataka kuwa na YouTube channel kama ayotv na kujipatia pesa kupitia AdSense sasa Google (YouTube) wamekuja na hii kuanzia tarehe 20 February mwaka huu channel zote zenye...
haya jameni kizuri share na wenzio. Viewen ni kampuni mpya iliyopo huko marekani na india inayofanya mishe zake za free shared hosting kwa watu wote bila kutoza kiasi chochote cha pesa kama...
Habari ya Muda huu wadau, Naomba kujua gharama ya mkanda wa PC ya Hp ProBook 4330s kama kichwa kinavyojieleza....Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.
Ndugu wana jamii forum naoomba msaada wenu was hali na haraka nimekosea nimetuma message ikaenda kwenye group message mbaya sana ambayo itakuwa na ushahidi naombeni mwenye kujua jinsi ya kufuta...
samahani mwana jukwaa kuna swali tumepew leo darasani nilkua naomba msaada wenu ni kama lifuaatavyo.....Jina la company TOSHIBA, SONY, APPLE, DELL, Hp, SIEMENS en et utofautshe kila pc kwa...
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja.
Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako japo...
Ningependa kujua information za jinsi ya kuiwekea laptop yako security yaaan ata kama ikipotea unaeza ipata kwa kuangalia GPS na ikakupa location ilipo.....
naomba kusaidiwa namna ya kuroot simu zenye android kuanzia simu 6.0.1 ukiacha simu za samsung. nimejaribu njia kadhaa bila mafanikio, nimejaribu kutumia kingroot,kingoroot,oneclick,wondershare...
Nimekuwa nikitumia bundle za halotel. Nashangaa kila nikifanya hotspot tethering kwa PC yangu, bundle la 700MB, halichukui hata dakika 10, chali. Nisipofanya tethering na kuamua kutumia bundle kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.