Gharama ya Mkanda wa PC- Hp Prook 4330s

Gharama ya Mkanda wa PC- Hp Prook 4330s

do wat u think

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
319
Reaction score
251
Habari ya Muda huu wadau, Naomba kujua gharama ya mkanda wa PC ya Hp ProBook 4330s kama kichwa kinavyojieleza....Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.
 
Mkuu kioo chako kina size ngapi (Inches) je una uhakika kuwa shida sio kioo na shida ipo kwenye mkanda (Flex cable)????
Kama una uhakika nipe Tender niende mjini nikasakanye
 
Back
Top Bottom