ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,064
- 991
Nimekuwa nikitumia bundle za halotel. Nashangaa kila nikifanya hotspot tethering kwa PC yangu, bundle la 700MB, halichukui hata dakika 10, chali. Nisipofanya tethering na kuamua kutumia bundle kwa android yangu tu, mzigo unadumu mpaka siku 4.Nimejaribu hata kwa bundle ya voda, majanga ni yale yale. Sielewi ninakosea wapi, sasa hivi sifanyi tena hotspot wala usb tethering kwa kuhofia upotevu wa bundle zangu.