Kuhusu signal za internet

Kuhusu signal za internet

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
watalaamu nina simu mbili,tatizo linakuja kwenye signal za internet nikiweka laini ya tigo kwenye Tecno h6 inasoma h+,nikibadili laini hiohio kwenye Tecno w4 mtandao unahamahama Mara h+ Mara 3g na ikiwa kwenye 3g mambo hayaendi,tatizo ni nini wadau!
 
Hamna shida hapo. Ni suala la preference ya simu.
Mtandao ukiwa strong inasoma H+ na ukiyumba ina switch automatic to 3G
Ni simu yenyewe tuu
 
Tatizo kama lako lilinikuta kwenye iphone 5 yangu. Nikiweka line ya tigo, basi network haitulii kabisa, mara 3g, mara e, mara iondoke kabisa, yani icho kitu cha sekunde kila wakati ipo ivo
 
Usidanganye watu kuna H+, H, na 3G na sometimes 3G+ hivo ni vitu tofauti na speed ya internet ni tofauti Japo vipo kwenye Technology Moja
CDMA
WCDMA
HSPDA
HSPDA +
Ila pamoja na hayo hata kama utofaut upo si wakufanya signal zikiwa kwenye 3g mambo yasiende kama mdau hapo juu alivyosema. Sometimes unaweza ukawa kwenye 3g ya voda ukakuta mambo yanakimbia sawasawa na mwingine akiwa kwenye H+ ya tigo
 
Sawa mzee. Ila 3g in mtandao weak sana. Mm huwa hata sometimes naona ni bora iwe E kuliko 3G. Maana 3g huwa ni Kichef chef. E ya Voda inapiga kazi poa kama una browse low size contents mf. Kama JF hivi. IlA E ya tiGO ni sawa na kuwa Offline tuu
 
Duh!
 
Nataka kubadili line yangu kwenda 4G ya voda, ila hofu yangu ni kuwa je hizi line ni za 4G pekee au pia inapiga kazi pia ya 3g na 2g ?
 
Ndo jioni hii nimeibadili line yangu kuwa 4G ya voda kwakweli ina kasi sana hakuna kuganda ganda kwa YouTube, nadhani hii line imefanyiwa improvement hata 3g 2g ina spidi pia, nikilinganisha na line ya kawaida
 
bei gani kubadili
Ndo jioni hii nimeibadili line yangu kuwa 4G ya voda kwakweli ina kasi sana hakuna kuganda ganda kwa YouTube, nadhani hii line imefanyiwa improvement hata 3g 2g ina spidi pia, nikilinganisha na line ya kawaida
 
Usidanganye watu kuna H+, H, na 3G na sometimes 3G+ hivo ni vitu tofauti na speed ya internet ni tofauti Japo vipo kwenye Technology Moja
CDMA
WCDMA
HSPDA
HSPDA +
Naposema same thing namaanisha band moja yaaani h+ iko kwenye band ya 3g..
 
Back
Top Bottom