CONFIRMED: Samsung Galaxy S9 Kuzinduliwa Tar. 25 Feb 2018

CONFIRMED: Samsung Galaxy S9 Kuzinduliwa Tar. 25 Feb 2018

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Kupitia Mtandao wa CNET unaojihusisha Na technology ya habari na mawasiliano, wamechapisha kuwa. Kampuni ya Samsung Watazindua Latest Simu yao kwenye Mlolongo wa S. Simu hiyo itakwenda kwa jina la S9 na baadae kaka yake S9 Plus itatolewa
5dd062403596d9a6fd4473ec8f26c46c.jpg

Samsung pia wamesisitiza kuwa, Maboresho makubwa yatakuwa katika Camera
724f7a83148fcce966154c31b4bfb279.jpg

8cff5d021e2f772ca59dd59a26451c1c.jpg

19486253c91ab450260a116e32bb3e52.jpg

06c262e251c603c9b2b78555fc42c657.jpg


Pia simu hii itakuwa na Technology ya On screen finger print ambayo itamuwezesha mtumiaji kutumia kwa urahisi kioo chake na sio kwenye finger print sensor tuu.

Simu hii imetengenezwa ili kuleta ushindani na iphone matoleo matatu latest

Nb:Katika makala hii muandishi hajajikita sana kutoa specifications za muhimu kama Swoc, display, Network, Ram, Rom, na nyingine Muhimu.
 
hapo S8 na Note8 zitashuka bei, ngoja nidundulize
 
Kwa hali ya kiuchumi ya sasa, tunachokiangalia ni kupata zile huduma za msingi unazozihitaji katika simu.

Mambo ya kufuja pesa kila simu mpya unataka kununua ni zilipendwaa.

MI 5s plus hii inanitosha.
 
Back
Top Bottom