Msaada juu ya marekebisho ya simu ya tecno

Msaada juu ya marekebisho ya simu ya tecno

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Wapendwa,

Ni mwezi mmoja tu tangu nimewaamini tecno na kununua simu yao aina ya Camon CX. Naomba nielekezwe zilipo ofisi zao hapa Dar kwa ajili ya kufanya marekebisho ya sauti kwa maana simu haitoi sauti ya video wala audio.
 
Nenda kwenye Duka ulilo nunua Simu.

Watakupa maelekezo yote.
 
Back
Top Bottom