Website ya bodi ya mikopo mbona siielewi

donMramba

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
250
41
wakuu hebu angalieni hii kitu! website ya bodi ya mikopo olas.heslb.go.tz imeingiliwa au ni macho yangu
 

Attachments

  • hacherssssssss.PNG
    hacherssssssss.PNG
    34.7 KB · Views: 82
  • hacherssssssss.PNG
    hacherssssssss.PNG
    34.7 KB · Views: 65
  • hack.PNG
    hack.PNG
    24.1 KB · Views: 40
vp ulikuwa una fatilia mkopo uko naona vijana wame hack na kutoa yao ya moyoni
 
madogo kuna information wameambiwa wa update ndo nlikua nawasaidia hapa..nashangaa naona hiyo kitu
 
Habari
wataalam wa Teknologia katika Hali isiyotarajiwa Website ya Bodi ya Mikopo kw Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilikuwa Hacked na wataalam wanaojiita " watu wasiojulikana Tanzania" ila naona mafundi Bodi ya Mikopo wamefanikiwa kuirudisha hewani.

katika kipindi Hiki ambacho wanafunzi wa elimu ya Juu wakiwa katika Usajili maalumu wa Ku Upload picha akatika Account zao.

ni Hatari sana
 

Attachments

  • wp_ss_20180126_0003.png
    wp_ss_20180126_0003.png
    92.4 KB · Views: 69
Safi sana!! Hii inaonyesha sasa vijana wa IT wameanza kuwajibika na kuitumia elimu yao vizuri!!

Wasiishie hapo wahamia website ya ajira na ajiraportal naona zina security zero kabisa!!
 
Back
Top Bottom