ebidada
Member
- Apr 15, 2014
- 69
- 81
naomba kusaidiwa namna ya kuroot simu zenye android kuanzia simu 6.0.1 ukiacha simu za samsung. nimejaribu njia kadhaa bila mafanikio, nimejaribu kutumia kingroot,kingoroot,oneclick,wondershare n.k. hata kama ipo ya kulipia naomba kusaidiwa katika hili. ahsanteni