Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,530
- 10,771
haya jameni kizuri share na wenzio. Viewen ni kampuni mpya iliyopo huko marekani na india inayofanya mishe zake za free shared hosting kwa watu wote bila kutoza kiasi chochote cha pesa kama ilivyo blogger, its like organization . hawa jamaa wanahost website yako bila limit ya bandwidth (Unlimited bandwidth) wala diskspace (Unlimited disk space) inshort 000webhost na infinityfree.net hawaingii ndani kwa hawa jamaa. pia kupitia cpanel yao unaweza kuhost business email yako BURE na kuiweka SSL verified certificate kutoka kwao au Lets encrypt BURE. inshort hawa jamaa hawana madaraja kwamba sijui wewe ni premium wewe ni wakawaida NO! wanawatreat wote kama premium users. vilevile hawaweki matangazo ya aina yoyote kwenye website yako wala kwenye cpanel . kama ilivyo kwa jamaa wengine kama 000webhost na infinity free.
jiunge nao hapa Viewen.com | Free Cloud Web Hosting With cPanel.
Tazama maelekezo yao kwenye video hapo juu.
pia wana masharti kabla haujajiunga nao soma masharti yao kwanza usije ukajilaumu baadae. ila masharti yao sio magumu kabisa kwa wale bloggers wanaopost ishu za udaku, habari. pia usihost Mp3 audio files pale kama ziko copyrighted watasuspend account yako bila kusahau nulled plugins na themes. alafu kabla haujajiunga nao hakikisha domain yako ni top level kama .com au .net ila sio zile za bure kama .ml, .cf na .tk . watakapoActivate account yako for the first time utaunganishwa na server za delhi, hapo utaanza kwanza kuijenga website yako kama kuinstall wordpress kupitia softaculous na kuset wordpress & database security vizuri kisha utakapojiaminisha kuwa website yako iko tayari kila kitu utafungua Ticket nyingine tena ya kuwataka wakuhamishe kutoka server za delhi kwenda server nyingine ambazo huko ndo website yako itakaa milele.
SOMA MASHARTI YAO HAPA Viewen.com | Free Cloud Web Hosting With cPanel.
facebook page yao hii hapa angalia reviews uone jinsi wanavyopendwa viewen.com
post hii ntaiupdate so endelea kuitembelea na kusoma upya.