fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 741
- 563
Kwa wale ambao wanataka kuwa na YouTube channel kama ayotv na kujipatia pesa kupitia AdSense sasa Google (YouTube) wamekuja na hii kuanzia tarehe 20 February mwaka huu channel zote zenye subscribers chini ya 1000 na watching hour chini ya 4000 hawataweza kumonetize video zao
Ikumbukwe mwanzo ili uwe eligible in lazima uwe na views 10000. Hii ilikuwa rahisi sana kwa youtubers .
Ushauri .
Usikate tamaa kuanzisha YouTube channel kwani 4000hours ni sawa na 240000minutes hii kama una uwezo WA kuingiza 10k+ kwa siku itachukua siku kama 6 tu kufikisha hivyo vigezo
Issue kubwa in subscribers tu