Videos & Audio production special thread (Softwares)

Nmeipenda hii thread, na nimeshai - subscribe kabisa, wakuu mi ni beginner kwenye mambo ya audio production ndo najifunza kupitia fl studio vs 12 tatizo ninalolipata ni kua nikiwa nacheza audio nilizo zitengeneza napata sauti ina crack au inascrachi na haileti ule utamu mzuri wa sauti tatizo inaweza ikawa ni nn?
 
naam mi nahitaji kuwa video editor bt sina mwalimu wala program ya kuedit video na audio naombeni muongozo inabidi niwe na program ipi na ipi? nawasilisha
 
Nmeipenda hii thread, na nimeshai - subscribe kabisa, wakuu mi ni beginner kwenye mambo ya audio production ndo najifunza kupitia fl studio vs 12 tatizo ninalolipata ni kua nikiwa nacheza audio nilizo zitengeneza napata sauti ina crack au inascrachi na haileti ule utamu mzuri wa sauti tatizo inaweza ikawa ni nn?
ivi mkuu ili kutengeneza beats lazima ujue kupiga chombo chochote ?
 
Back
Top Bottom