Computer yangu ukifanya updates ya drivers inagoma kabisa

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
Computer yangu ukifanya updates ya drivers inagoma kabisa, Baada ya driver kuinstall huwezi hata connect [/moderm/] hapa mpaka nirestore system tofauti ndo inakubali>>> nimejaribu kufanya updates kwa kutumia driver booster na driver pack solution sasa nimefail njia zote..
 
Achana na driver pack, sijui booster etc

Download driver kwa aliyetengeneza hio computer yako, maana yeye ndio anafahamu zaidi kushinda watu wengine wote, haimake sense Computer atengeneze HP Halafu driver booster ndio azijue drivers vizuri zaidi.

Nenda website husika ya Computer tafuta driver's huko.
 
Yeah tafuta official drivers kutoka kampuni husika, niliwahi kufanya drivers installation kutoka kwa driverpack, ikaleta shida.
 
ITASAIDIA: uki provide info ya modem yako na pc na windows version, manufacturer wa driver na version unazo run also imetokea mda gan, baada ya tukio gan na pia kama kuna any error message.

Well, sipo sure kama kurestore

hapa mpaka nirestore system tofauti ndo inakubali

ni swali or a statement so nafanya kuassume imekataa kama ulivyo fanya update so kama ume update kawaida bila kuformat jaribu to rollback changes from when ilikataa. Inatokea windows wame update na ku replace aina driver unayo tumia maybe hawaitaki kuitumia tena so hata kuenda kwa manufacturer inaweza isisaidie because watakupa the latest ya uliyo nayo.

Au because driver zimekataa so jaribu kuingia the website wa manufacturer wa MODEM yako na angalia kama wana provide driver husika.

Au jaribu kuingia kwenye modem na ku fanya a factory reset labda itaweza saidia.

Na pia kujua kama shida ni pc au modem test modem yako kwenye pc nyingine yenye the SAME windows version
 
Mkuu moderm inagoma nikiweka driver ila nisipoweka inakubali ..
 
Achana na driver pack, sijui booster etc

Download driver kwa aliyetengeneza hio computer yako, maana yeye ndio anafahamu zaidi kushinda watu wengine wote, haimake sense Computer atengeneze HP Halafu driver booster ndio azijue drivers vizuri zaidi.

Nenda website husika ya Computer tafuta driver's huko.
Mkuu pic yangu ni Dell optiplex 390 natumia window 7 bits 64 operating system.
Pia nielekeze namna kudeactivate window
 
Achana na driver pack, sijui booster etc

Download driver kwa aliyetengeneza hio computer yako, maana yeye ndio anafahamu zaidi kushinda watu wengine wote, haimake sense Computer atengeneze HP Halafu driver booster ndio azijue drivers vizuri zaidi.

Nenda website husika ya Computer tafuta driver's huko.
Kibaya zaidi siwezi kufanya updates ya window , nahisi tatizo limeanza baada ya kuactivate kwa njia ya window loader..
 
Yeah tafuta official drivers kutoka kampuni husika, niliwahi kufanya drivers installation kutoka kwa driverpack, ikaleta shida.
Dell optiplex 390 natumia window 7 bits 64 , nitumie link
 
Kibaya zaidi siwezi kufanya updates ya window , nahisi tatizo limeanza baada ya kuactivate kwa njia ya window loader..
Kama ni win 7 ipo up to date, labda tu security patches za Hapa na pale huwezi kupata features updates maana walishasitisha.
 
ohoo duuh hatare sana ila naumiza kichwa kwa mashine hii mpaka nawaza kupiga window upya .
 
Sijatumia loader siku nyingi Sana Ila ninavyofahamu zipo 2, Kuna moja ikiwa hujadakwa ndio Ina activate window,

Na Kuna nyengine ukiwa umedakwa inafanya Mambo mawili, kwanza inareset na kufanya windows Kama haijadakwa na haina activation, then ndio Ina activate.

Kwa situation yako unatakiwa upate hio loader ya pili.

Windows yako Ni home, starter, pro ama ultimate?
 
Professional
 
Chief-Mkwawa naomba msaada laptop na simu kwa usb, simu haionekani kwenye pc ila simu inachaji. Niasidie shida ni nn?
 
1. Kuna cable nyingi za kichina zinachaji tu ila hazipitishi data
2. Hakuna driver za simu kwenye laptop.

Anza kwa kubadili cable, jaribu kutumia cable nyengine nzuri.
 
Mwanzo ilikuwa inafanya kazi, may be hiyo ya drivers
 
Pia sometime Kuna simu ukichomeka kwenye PC inabidi uvute notification uclick USB mode Kisha chagua file transfer.

Ukichomeka huo waya na PC Kuna hata mlio unatoka?
 
Back
Top Bottom