Tv za Singsung zina ubora?

Tv za Singsung zina ubora?

Superleta

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
575
Reaction score
667
Habari wakuu vipi ubora wa hizi tv za Singsung kuanzia kwenye tv zao za kichogo hadi Flat screen?

Hapa nazungumzia quality ya picha na ubora pia wa hizo tv
 
zipo original na feki. Ukipata singsung halisi ni nzuri ila zile feki unawezakutumia vizuri mwezi ikaanza kupitisha mistari yenyewe

Maana kuna tv ya chogo ya singsung aka flat chogo huwa ina quality nzuri balaa sasa nikasema ningekua na flat s ndo ningeinjoy?
 
Back
Top Bottom