MSAADA WA EMAIL

MSAADA WA EMAIL

Guy Isaac

Senior Member
Joined
Aug 10, 2019
Posts
126
Reaction score
60
Habar zenu wana jf,naomba msaada wenu kwa jambo hili, siku chache zilizopita niliapply chuo cha udom kupitia internet cafe,jana nilijaribu ku-sign in ili kuangalia taarifa zngu cha kushangaza ile email niliyoitumia Kama username yngu iligoma na kuniandkia wrong password ikabidi niende sehem iliyoandkwa forgotten password nikatuma ka mara nne hivi ili nipate hzo New password kwenye hyo email lkn Hakuna msg yoyote iliyoingia kwnye email nikaona niombe Msaada kwnye jamii inayonizngka wakaniambia hyo email niliyotengenezewa hko internet cafe ilikuwa batili, hvyo nimeamua kuandka uzi huu kwa ajiri ya kupata msaada na ushauri ni kitu gani nifnye Kwani hyo password ya email ilikuwa Kama username yngu ya kuangalia majbu ya 1st round ya Udom
 
Piga help desk-DOM
 
Back
Top Bottom