HP Deskjet 2130All-in-One Printer hai scan

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
295
195
habari za muda huu wakuu,nina printer aina ya HP Deskjet 2130All-in-One,nina print kazi zangu vizuri tu, ila ku scan document ile app kwenye desktop haifunguki kabisa,na hii imenitokea kwenye printer kadhaa za hp, lakini canon hainisumbui kabisa,naomba msaada tafadhali.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,757
2,000
Mkuu kuscan sio lazima utumie software ya HP, niliwahi pata tatizo Kama Hilo sikuhangaika nalo nikadownload tu 3rd party software.

Kuna readiris, vuescan, Abbyy, scanspeeder, paperscan etc
 
Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
295
195
Mkuu kuscan sio lazima utumie software ya HP, niliwahi pata tatizo Kama Hilo sikuhangaika nalo nikadownload tu 3rd party software.

Kuna readiris, vuescan, Abbyy, scanspeeder, paperscan etc
Unaweza kunipa link ya hiyo software mkuu??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom